Gospel Preacher
JF-Expert Member
- Jan 17, 2018
- 233
- 263
Mkuu hizi story za kutengeneza kwa watumishi wa Mungu achana nazo yaani hazina maana kabisaToka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hizi story za kutengeneza kwa watumishi wa Mungu achana nazo yaani hazina maana kabisaToka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
Hapo ndo nawakubaligi manabii wa uongo. Wanapiga mihela balaa then wanaishi kama wako peponi na nyumbu mbugani hawaishi, wanawafuata tu na wanakamuliwa mihela mpk senti ya mwisho!!!
Mkuu na wewe ni Nabii?Alikuibia nini? Kanisa lake linakuwa financed Na business zake sio sadaka Na mafungu ya kumi.Ni mtu pekee anayetaka matajiri wafungue makanisa sababu Yesu aliajiri mitume ambao wote walikuwa Na kazi hakuajiri jobless wanaotegemea sadaka Na mafungu ya kumi kuishi kwenye huduma.Petro alikuwa mvuvi Na paulo mshona Hema,Yesu selemala nk Bushiri ni bilionea business man anayefanya kazi ya Mungu anayetaka wenye pesa wafungue makanisa watakayosimamia wenyewe Na kuya finance wasiishie kuzila tu
Nabii Joshua pia akatabili Lowasa atakuwa raisi na leo ndo Raisi wetu wa Jamuhuri ya watu wa CDM!!Hata Nabii T. Joshua nae alitabiri Trump atashindwa katika uchaguzi wa Marekani, sishangai.
Hahahaaaa...... Ni kweli yani.Nabii Joshua pia akatabili Lowasa atakuwa raisi na leo ndo Raisi wetu wa Jamuhuri ya watu wa CDM!!
Tupige kazi tupige hela, manabii nao wako kazini wanapiga hela.
Kwanini huoni mwenye mtoto alikua anashangaa amewezaje kupata picha ya mwanae sasa hiyo trick vipi,na aliomba ipad kwa mtu,miracles happen banahhuyu jamaa ndo alitumiaga IPAD kumuonyesha mmoja wa waumini wake mtoto. Icheck hapa chini
Hata mimi nimeshangaa,watanzania ni wa rahisi sana ku spread rumors bila kuzifanyia tafiti,kaambiwa nae kabeba story kama ilivyo,Mkuu hizi story za kutengeneza kwa watumishi wa Mungu achana nazo yaani hazina maana kabisa
Kwanini, huyu mtumishi wa Mungu mimi naona hana shida ila watanzania kwa kupokea uongo na kusambaza hatujambo,mtumishi huyu watu wengi sana humsema vibaya ila sioni mabaya yake zaidi ya mazuri,Msipende kuwaamini hawa watu
Mkuu sadaka mlikuwa mnatupia sh ngapi ngapi? Naomba nikutumie ka namba kangu ka Halopesa unirushie japo ka 5,000 nile asee!!Akili za kuambiwa,changanya na zako.Mimi nilikuwepo kwa zote tatu.Tokea tarehe 18 mpaka Jana tarehe 20.Unabii umefanyika hadharani,wagonjwa wamepona hadharani na shuhuda pia zimetolewa hadharani.Hivyo kama maandiko yanavyosema,kuwa tusinene mabaya juu ya watumishi wa Mungu,tunapaswa kuishi katika neno la Mungu.Nashukuru Mungu kupitia mkutano huo nimepata kuimarika kiimani.Tofauti za madhehebu au makanisa yetu yasitufanye mahakimu kwa wengine.Ndio maana hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake,wasiwazuie watu wengine kutoa pepo kwa jina lake.Ndugu zangu jitahidini kuifahamu kweli,nayo kweli itawaweka Huru.Tulianza salama na tulimaliza salama.Wana wa Mungu siku zote tusiwe mahakimu,ili nasi tusije tukahukumiwa.Mimi hata mawaidha ya kiislamu pia huwa ninayasikiliza,na Dini nyingine pia.Watu wameguswa wakaenda,utasemaje ni wajinga au manyumbu?The same to Jesus,alifanya miujiza yote na akawahubiria pia.Na bado walimuua.Je,hilo litashindikanaje kwa viongozi wetu wa kiroho wa kizazi chetu?Amini ukionacho ni sahihi kwako.Mwenyezi Mungu ambariki Prophet Bushiri na viongozi wote wa Kiroho,Amina.
Kila kamba hula urefu wa Mbuzi wakeToka ile scandal yake ya kuwala waumini wake alinitoka kabisa
ushajaa kwenye formula, miujiza hata shetan anafanya, huyo bushir kama ni nabii yupo toka juz kwann hakuona unabii wa Ajar ya mv nyerere? huyo ni tapel mkubwaAkili za kuambiwa,changanya na zako.Mimi nilikuwepo kwa zote tatu.Tokea tarehe 18 mpaka Jana tarehe 20.Unabii umefanyika hadharani,wagonjwa wamepona hadharani na shuhuda pia zimetolewa hadharani.Hivyo kama maandiko yanavyosema,kuwa tusinene mabaya juu ya watumishi wa Mungu,tunapaswa kuishi katika neno la Mungu.Nashukuru Mungu kupitia mkutano huo nimepata kuimarika kiimani.Tofauti za madhehebu au makanisa yetu yasitufanye mahakimu kwa wengine.Ndio maana hata Yesu aliwaambia wanafunzi wake,wasiwazuie watu wengine kutoa pepo kwa jina lake.Ndugu zangu jitahidini kuifahamu kweli,nayo kweli itawaweka Huru.Tulianza salama na tulimaliza salama.Wana wa Mungu siku zote tusiwe mahakimu,ili nasi tusije tukahukumiwa.Mimi hata mawaidha ya kiislamu pia huwa ninayasikiliza,na Dini nyingine pia.Watu wameguswa wakaenda,utasemaje ni wajinga au manyumbu?The same to Jesus,alifanya miujiza yote na akawahubiria pia.Na bado walimuua.Je,hilo litashindikanaje kwa viongozi wetu wa kiroho wa kizazi chetu?Amini ukionacho ni sahihi kwako.Mwenyezi Mungu ambariki Prophet Bushiri na viongozi wote wa Kiroho,Amina.
ww ushakuwa mateka wa manabii fakeDo you have a prove kwamba aliwatafuna waumini wake, msiwachafue watumishi wa Mungu kwa kueneza uongo
Hapo ndo nawakubaligi manabii wa uongo. Wanapiga mihela balaa then wanaishi kama wako peponi na nyumbu mbugani hawaishi, wanawafuata tu na wanakamuliwa mihela mpk senti ya mwisho!!!
Ukirogwa ubongo na manabii umeshamalizwa!!