Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Kwa nini uile peke yako!!Kwani alizaliwa kwa ajili yako huyo? Acha ubinafsi!!
 
Bado una ndoto za kuoa duh!! Acha nae huyo mwambie jamaa alipe gharama achukue
 
Chizi maarifa umeongea kwa uchungu mkali sana,kweli kumegewa kunauma.
 
nmegundua nyie watu mnaniombea mabaya sana..hamwoni kwua sasa ndo mnampa uthibitisho kabisa????????????????????????? nmewakosea nini mimi jamani mpaka mnaniombea mabaya hivi.......................
Naona mkuu biti limekuingia sasa
 
Ahahaha kama hadi analoa akiongea na mm basi jua ananipenda!
Mruhusu aje kuniona kidogo au kama vipi njoo nae tutafune mishikaki wote hapa Kurasini ghetto
 
Mkuu amejiita mhuni alafu tena mstaarabu. Labda kiwewe cha kutokewa mchumba. Pole sana ila kaza moyo
 
Pole Sana. Punguza wivu bado hujamuoa, nae bado anatafuta labda wewe si type yake.
 
Kaka Mchumba hasomeshwi... Mwanamke muaminifu dunia hii ni Mama yako mzazi tu
 
Muongo mleta thread mara nimemjua mchumba wangu kwa miez mitano hapohapo nilimlipia ada kipindi yupo chuo na kamaliza chuo miaka miwili iliyopita! Arrgggg which is which
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…