[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseee pole
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atampaje masaada wa kukomesha kabisa wakati si mkewe?Mtafute mshana inbox nina imani atakupa msaada wa kukomeshaaaa kabisa
Sent from my GT-I9295 using JamiiForums mobile app
Busara Kweli KweliPoole sana Bwana chizi..lakini ningependa urejee yafuatayo na kujibu maswali ili nipate Mwanga wa kukushauri vizuri.
1.Kwasasa ni mwezi wa TANO upo nae!
Swali:Kwa ubize uliinao umewahi kutenga mda wa kutosha kukaa nae nyumbani walau wiki moja!?
2.Amemaliza chuo miaka miwili ilopita
Swali:Miaka miwili ni miezi 24,ukitoa mitano mlokaa pamoja,miezi 19 ilobaki alikuwa wapi na alijishughulisha na nini!?
3.Unasafiri sana,hivyo mda nwingi anakuwa mpweke nyumbani na Hana kazi ya kumkeep busy
Swali:Unahisi huu ni mfumo salama wa maisha ya majaribio ya ndoa?
4.Umegundua anavutiwa na member humu ndani..na uhusiano wao unatishia afya na uhai wa mahusiano yenu.
Swali:Umemlaumu sana Member (jina umelihifadhi)lakini kwa maelezo yako inaonekana mchumba ndo Chanzo cha ukaribu wao,huoni kwamba kumchukia na kumlaumu huyu member bila kushughulikia udhaifu wa mchumba wako ni uchokozi na kutafuta uadui kwa member asiyekuwa na hatia?(mana pengine hajui kama mdada ni mchumba wako?
5.Umemhudumia sana wakati akiwa chuoni
Swali:Wakati unamhudumia ulijiridhisha kuwa anauhitaji na kuuthamini msaada wako?
Ulijiridhisha anakupenda,yupo tayari kuwa mkeo na ndie mwanamke sahihi kwako au ulifanya kwasababu unauwezo ama ulihisi ulifanya hivyo ndo atakupenda zaidi!?
6.wakati unamhudumia hakutumia frusa ya fedha ya wazazi kwa faida.
Swali:Hukujifunza chochote wala hukugundua chochote!?
Ulimshauri nini bada ya kuona anakiuka miiko ya kujenga maisha ya badae ukizingatia tangu amalize chuo ni miaka miwili sasa hana kazi!?
Majibu sahihi ya maswali haya yatasaidi sana kukufumbua macho na ufahamu wa kufanya maamuzi sahihi.Kila la kheri Chizi Maarifa
Hahahahaha halafu nilishahisi hili gunia la misumari lzm limwangukie GuDume,aiseee ww jamaa temana na manzi wa mshikajiangalia sana. tena nakwambia angalia sana. we unadhani ni mwanaume sana kuliko wengine. si ndiyo? nakwambia jiangalie watu kunyamaza usituone kama mafala. jiangalie maana utakuja kujilaumu sana hapo baadaye.... we si mbabe? unajua sana mapenzi? unajua kuchat na wanawake? haina shida bro. mi sijui matusi..ila endelea tu . endelea sana tu.
Uchumi wa viwanda!Nimelazimika kusema hili ingawa najua wengine mnaweza kukebehi na kunidhihaki. Haina shida nimeamua kusema iwe kama angalizo maana kuna siku nitakuja tu kufanya reference. Sisi wengine hatujui sana kuzungumza au kurushiana maneno. Hii naweka tu kama ushahidi ili nikimfanya mtu kama ambacho nilimfanya shababy mmoja mwaka 2015 tusilaumiane.
Mimi nina mchumba ambaye kwa sasa ni mwezi wa 5 nipo naye. Kazi zangu ni za safari safari sana, so kila wakati nakuwa safarini ili niandae mazingira mazuri ya maisha yetu ya ndo hasa ukichukulia ye mchumba wangu amemaliza chuo mwaka wa 2 sasa hana kazi. Yeye ana muda mwingi sana so anakuwa home na sometime mishe mishe zake ila ni muda sasa naona amezoeana na member mmoja humu ndani ambaye amekuwa mara nyingi akiuza sana chai na habari zake za ajabu ajabu. Ni mhuni na baradhuli tu huyo member wala si mtu wa staha hata kidogo mimi ni mtu mstaraabu sana na mpole.
Nilianza kuona kila mara huyo member akianzisha thread huyu mchumba wangu analike na anachangia sana na huwa akisoma anasoma anacheka mpaka machozi yanamtoka muda wote akiwa nami anajisahau anaaanza kusoma threads za huyo jamaa baadaye nikamwambia mi sipendi anavyokuwa occupied sana na huyo jamaa mpaka anajisahau anasema "ila wanaume wengine bwana yaani ukikaa na huyu kaka itakuwa mtu hata stress huana unacheka tu" hilo liliniudhi maana asili yangu mimi ni mtu ambaye nipo serious na sina sana stories hasa za kipuuzi puuzi kama za huyo member humu ndani za ngono na jinsi wanavyotendana na wanawake.
Siku moja kweli ananiambia hebu siku moja nasi tujaribu hii style ya .... nikashangaa katamka jina nikamwambia kwa upole kuwa kwa nini anakuwa obsessed na huyo jamaa mhuni na malaya?" akaniambia "aaah.. Nawe baby una mind vitu vidogo tu mtu mwenyewe hata simjui" juzi juzi hapa akawa ananambia unajua good girls wanapenda sana bad boys..sikutilia maanani lakini nlianza kuona mashaka pale nilipoona anasema anataka aonane na huyo mtuniliingia kwenye inbox texts zake jamiiforums nikakuta anawasiliana naye sana wanacheka wanataniana na sometime wanachat maneno mpaka huyu mchumba anasema ameloana hili lilinikwaza hasa anaposema "wee..naomba nikuone live maana una vituko sana"
Nimeamua kuwa hili suala niliweke wazi huyu dada mimi nlishamhudumia sana chuo mpaka amemaliza ni mimi nlikuwa natoa ada kumwonesha tu kuwa nipo serious pesa za kutoka kwa wazazi wake alikuwa anatumia kufanyia mambo yake na nilimruhusu nikamwambia basi aangalie kama anaweza zifanyia kazi flan ya kuzalisha, she didnt do anything progressive with the money.
Leo hii mwendawazimu mmoja humu ndani anataka kuja kufanya masikhara na mchumba wangu its ok..mi naweza kumwachia ila afaham atarudisha pesa zangu zote nlizotumia kama si direct bas itakuwa indirect najua kwa nini nasema hivi na simtishii...yeye si mwanaume?ajaribu tu kumgusa huyu mchumba wangu kimapenzi atanifahamu kuna post iliwekwa humu kama sikosei mwaka jana..Kuna mtu alifanywa kitu kibaya sana kudandia wake za watu gharama aliyolipa ilikuwa kubwa na mpaka sasa anaendeleakulipa toka mwaka 2015.
Nimetoa tu hili kama angalizo.