Mi natoa ONYO: Kuna Member wa Humu JF ana mahusiano na mchumba wangu. Tusije Kulaumiana Bure

Mchumba hana kesi ya kujibu mkuu?
 
Hapa ndipo ninapo kubaliana na mhenga aliyesema "Mchumba hasomeshwi" Pole sana mkuu!. Ila ishu za kuchukuliana mademu sio fresh! Wewe jamaa kama upo unayefanya hivyo, Acha la sivyo unaweza kugeuzwa jinsia
 
Hii ya leo kali

Wewe upo nae kimwili unashindwa kumpa raha unakuja kumtishia anayempa maneno matamu JF eeeeeeh

Ukiachwa usimlaumu mtu maana hata mchumba atakuona wewe bomu kweli kweli sasa hivi
Na nyinyi mue mnachagua kati ya raha na maendeleo wengine uwezo wa kuchekesha hamna wanawaza pesa kwa ajili ya maisha ukitaka kuchekeshwa muache nenda kwa anae kuchekesha sio mnataka vyote.
 
Punguzaga userious na ww, ndo maana mtt anataka kukutoroka, mkwara wako uloutoa ameshakusikia usijali atamuacha
Atoroke tu binaadam hatukuumbwa sawa,
Mpaka anakubali uchumba hakujua kua anapenda mchekeshaji?
 
Wewe ni Mpumbavu

Yaani Mchumba tu ndio unawaaka kuliko tanuru?

Wanaume hasa hata Wake zao sikuhizi hawawafuatilii zaidi ya kuwaonya tu.

Ngoja huyo Mchumba aje kukuacha baada ya kutoa mahari ndio utapasuka.

UNA UTOTO SANA.
 
Ili kuepusha hayo yooote mkuu mnunulia sim ya tochi huyo mchumba wako halafu safar zote safir nae uone kma ataku chit tena
Kwa nini utumie nguvu zote hizi kwa mtu anaejua baya na zuri?
 
Punguza wivu na mtoto wa watu kama unampenda sana muowe, hafu kumbuka kuwa huwezi ukamchunga au kumwamulia ampende nani
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
mkuu utagombana na wangapi? shida iko kwa huyo mtu wako. kaa ongea nae kama nd madhaifu yake chagua 1 kuyavumilia ama kuachana nae kabisa.

acha kugongewa kuna wahuni watamchukua jumla na utabaki ukilia lia tu kama si kujinyonga.

tatizo liko kwa mtu wako, hili biti hamishia huko
 
Mwenyeji wa " kahama mbele nyuma kagongwa" ,usiwe na jaziba ndugu angu, mi kwa uelewa wangu na kwa experience Yangu in kwamba mapenzi kwa kweli yanaumiza sana na mm nimhanga pia.
Ila kitu kimoja kaka angu ,huyo mchumba wako kama anayafanya hayo kweli hakupendi, hiyo ni massage ushafikishiwa usihitaji malumbano tena wala mjadala, confirm it.
Mwanaume huongea (kutongozA na mwanamke husikiliza), haijalishi ni Nani na anaongea nn, mwanamke ni msikilizaji , pole lkn maana inauma.
 
Wanawake hawana fadhila pole kaka but punguza wivu! Wewe siumeshauriwa kubadili style unaleeega [HASHTAG]#HASH[/HASHTAG] TAG#
 
"Sometimes mkazie na stick kwenye maamuzi yako " Hii ni sisi tu tunakuelewa wengine hawatakuelewa...

 
Sasa ndugu kumbe ni mchumba hata mahari hujatoa huoni na wewe pia mwizi unawaibia wazazi wa huyo mchumba wako.nakishauri kuliko kwenda jela kwa ajili ya papuchi piga chini tafuta mungine aise au muoane ili uwe na haki kabisa kuliko kulia lia na kumbe wewe mwizi pia
 
wadau mbona mnaniharibia status yangu sana.... kila sehemu nanyooshewa vidole kuwa ni gudume.. kwa nini mnanisimanga na kunifadhaisha hivi. kiukweli nimefadhaishwa sana, nimesikitishwa sana, nimenyanyasika sana. hii ni kampeni ya watu flani kutaka kunichafulia jina langu baada ya kuona nimekuwa mfano mwema wa kuigwa katika jamii. leo mtu from nowhere anani unganishia na mambo ya kipuuzi. nami nasema kutawaka moto..kweli nawaambia kutawaka moto. huyo chizi kama ananilenga mimi nshamwambia NMESHAVUKA MAJI YA SHINGO BILA PU**U KULOA. lakini pia wadau acheni kuniharibia kuninyooshea mimi vidole.mimi sina makuu na mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…