Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Hivi ni aina gani ya bangi anayo itumia mtoa posti! wavutaji wanajua kila bangi na kazi zake! usijali mtoa posti endelea kutupa maendeleo yako! wanaume wa mkoani sijui mkoje?
 
Hivi ni aina gani ya bangi anayo itumia mtoa posti! wavutaji wanajua kila bangi na kazi zake! usijali mtoa posti endelea kutupa maendeleo yako! wanaume wa mkoani sijui mkoje?
Nyie wa dar mmeoma ushoga ndo ndili
 
Bora nipatie ukimwi kwa yule sio kwa videmu ambavyo havina hela na havijui kuoga kutwa vinanuka kwapa
Ww kweli weupe umekuchanganya uko tayari kupata ukimwi kwa sababu ya 50 VP lakn mama yako kipenzi umemfahamisha kuwa umepewa sh 50 ili na yeye akupe ushauli naona wa humu kama vile haukuingia vizuri.
 
Pale huwez kumbuka kondom musela wangu ukitumia kondomu kwa kisu kama kile utakua bwege aise
Uzuri wa jeneza ndani yake mzonga taafakali kaka yangu maisha ni mafupi lakni sio kwa stahili hiyo
 
Kweli hali mtaani ngumu yani 50,000 tshs imekufanya uchanganyikiwe.
Nimerudia kusoma mara 3 nikahisi labda ulipewa 50,000,000 tshs.
Aisee nakuombea kwa Mola huyo dada asije kukupatia milioni moja unaweza gongwa na gari kwa kihoro utakachopata.

Elmagnifico
 
Yaan hadi huu utawala kuisha . .... tutakuwa wabunifu saana... chuya lazima zijitenge...

Sa ndo nin hiki kaandika..
 
mkuu umekula mzigoo ayaa uyo mama anasambaza vijidudu ameathirika kitambo anategaga wageni tuu na hafanyi kazi bungeni Ohoo maskini nyanyupu
any way uko pande zipi dom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…