naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,961
- 5,460
Mkuu nimesema Dodoma awe mwenyeji wa hapa, wakuja au wa kuletwa wote walewaleYule anafanya kaz dodoma lakin sio kwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu nimesema Dodoma awe mwenyeji wa hapa, wakuja au wa kuletwa wote walewaleYule anafanya kaz dodoma lakin sio kwao
Hivi ni aina gani ya bangi anayo itumia mtoa posti! wavutaji wanajua kila bangi na kazi zake! usijali mtoa posti endelea kutupa maendeleo yako! wanaume wa mkoani sijui mkoje?Ni juzi juzi tu sio siku nyingi nilitoka mwanza kuja dom kuchek mishe si unajua tena life sio kukaa na kukalili sehemu moja
Mambo sio mambo jana yakawa mambo mtoto wa kitaa nimekutana na bonge la zar pale maeneo ya bunge upande wa pili nilikutana na dada mmoja mkali balaa yaan ni kisu balaa kitu ngoz nyeupe si unajuaga tena sisi kabila letu tunapendaga ngoz nyeupe
Mtoto alikua na vx jeusi kali hatari sikuogopa kumufata nikaomba namba nikapewa jana hiyo hiyo nikapiga mistari kitu kikaingia lain leo asubuhi nimekula mzigo kiulain sana mtoto anafanya kaz ofisi ya bunge ana mshahala mzur tu leo kanitoa 50 ya kula kaenda kazin nami nikarud gheto kulala
Saiv natumiwa msg kila dakika mara kanimis sana mara najua mambo yaan ni balaa tupu naogopa kumupeleka gheto kwangu coz mi nalala chini afu ndo niko naanza maisha
Ukweli ananizid umuri lakin mi sijali nakula vitu vizur na mtoto mzur baadae mkitaka picha nitawatumia
Polen sana masela mimi siyo mwenzenu tena shauri zenu hamunaga hata bahati ya kupendwa
Nyie wa dar mmeoma ushoga ndo ndili
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Ww kweli weupe umekuchanganya uko tayari kupata ukimwi kwa sababu ya 50 VP lakn mama yako kipenzi umemfahamisha kuwa umepewa sh 50 ili na yeye akupe ushauli naona wa humu kama vile haukuingia vizuri.Bora nipatie ukimwi kwa yule sio kwa videmu ambavyo havina hela na havijui kuoga kutwa vinanuka kwapa
Uzuri wa jeneza ndani yake mzonga taafakali kaka yangu maisha ni mafupi lakni sio kwa stahili hiyoPale huwez kumbuka kondom musela wangu ukitumia kondomu kwa kisu kama kile utakua bwege aise
Ww noma sana kwa kujipalia ujikoNitakutumia badae jombaa maana sijamupiga picha then nimechek kwenye profile WhatsApp yake nimekuta kaweka picha yangu nilitaka nikuchukulie huko nikutumie
Na inavyosemekana ule ukumbi karibu wote wajane [emoji4]Usisahau condom mkuu.
Usije ukaiaga Dunia badala ya masela.
Naona una utani wa ngumi na bangoshaNi hatar kitu cheupe balaa yaan nimekufa nimeoza sijiwez
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] utanivunja mbavu mkuuuHapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Kweli hali mtaani ngumu yani 50,000 tshs imekufanya uchanganyikiwe.
Nimerudia kusoma mara 3 nikahisi labda ulipewa 50,000,000 tshs.
Aisee nakuombea kwa Mola huyo dada asije kukupatia milioni moja unaweza gongwa na gari kwa kihoro utakachopata.