Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Kweli hali mtaani ngumu yani 50,000 tshs imekufanya uchanganyikiwe.
Nimerudia kusoma mara 3 nikahisi labda ulipewa 50,000,000 tshs.
Aisee nakuombea kwa Mola huyo dada asije kukupatia milioni moja unaweza gongwa na gari kwa kihoro utakachopata.
Kimagu magu iyo ela kubwa sana mkuu
 
Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] ,you made my day. Na leo biashara ilivyo ngumu nimecheka hadi machozi.
 
anapokea mshahara mzuri? hahaha pole sana, ana waume wenzio rundo, wabunge, madereva wa wabunge, kila takataka ni za kwake, jiandae kugawana ngoma manake huko serikalini usijeona watu wameulamba, vidudu vimewajaa mwilini. mmepima?mtapima?
 
Na mtu ukimpa mkopo ndiyo mwisho wa kumuona..
hii ninayokupa mwanangu ni hali halisi
ndani ya magu land masela tunavyoishi.


Nimemkumbuka mike T na ngoma yake ya nyalu land aisee
Vyabure vinaua acha asikwambie MTU
We usawa huu upewe Pesa kipuuzi AF uinue miguu juu uchekelee
 

Yaani wakati nasoma hii thread nilikuwa nasubiri umalizie kwamba ni ndoto.

Anyway, naona bado uko usingizini bado ukiamka utaimalizia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…