Mi sio mwenzenu tena kwaherini wote

Hizi niakili kwelii,,,una umri gani? Unaelimu gani? Unajishughulisha na nini? Mpaka uage marafiki wa mtaani kwa elfu hamsini
 
Hapa naona waliofanya tafiti na kupata ratio ya 4:1 itabidi warudi kwenye data analysis maana huenda ratio sahihi ni 4:3!
Mkuu nimecheka hatari dah[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Eheeee!!!!!!Namba imeanza kusomeka na bado tutaisoma hata kwakuvaa miwani.
 
Hahahahahaaaaa dah nimecheka sana.
Nilidhani mtu anataka kujiua nikafungua harakaharaka nije kuokoa uhai kwa ushauri kumbe....
Daaaaaamn
 
Tumshukuru aliye leta swala la kusoma na kuandika limeokoa wengi,mmoja wapo in huyu aliyepost huu ujinga,jamani labda alikuwa anaotahajijui
 
Balikiwa katika bwana lakin hii siyo hadithi
 
Yakikukuta maseka hatuto kutupa usisite kitugongea fegi na viwalo...tupo hata kukuzika ukienda na umeme.....pia jaribu kuniangalizia kama ana mdogo wake wa kike bhana na mm tuunge undugu
 
Usisahau condom mkuu.

Usije ukaiaga Dunia badala ya masela.
Masela hawana roho mbaya,watamsindikiza tu katika safari yake ya mwisho. Kikubwa katika hizo 50,000/= atumie vizuri maana masela hawaachi kuuliza alizifanyia nn[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…