Mia Khalifa afunguka juu ya mapambano katika tasnia ya ponografia: Familia yangu ilinikataa walipogundua

Status
Not open for further replies.
Ila huyo mwanamke itakuwa anajuta na kujisikia vibaya, vilevile nahisi atakua anamkubali sana mshikaji wake kwa vile mshikaji wake kamkubali jinsi alivyo.
Demu anampenda jamaa sana Ni baba watoto wake

Na jamaa anamkubali demu coz pia demu ana make cash kubwa sana kwenye industry za social media

Na jamaa kajambanani so Hana haja kuachia mzigo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah sijutii kujiunga jf
 
Wahindi na watu wa middle East wanamuelewa sana Mia ndo wanaompa umaarufu hadi Leo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…