Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Demu anampenda jamaa sana Ni baba watoto wakeIla huyo mwanamke itakuwa anajuta na kujisikia vibaya, vilevile nahisi atakua anamkubali sana mshikaji wake kwa vile mshikaji wake kamkubali jinsi alivyo.
Na jamaa anamkubali demu coz pia demu ana make cash kubwa sana kwenye industry za social media
Na jamaa kajambanani so Hana haja kuachia mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app