Uncle kuna watu wanajua kotekote
Anaweza kukutajia chaynne Jacobs
Halafu akakutajia mason mount capability yake uwanjani
Halafu akakulete stori za lijualikali
Mkahamia kwa akina Rey dalio na Mambo ya hedge funds
Then akakulete kwa Elon musk na mission zake eurolink,soaceX,solar City na Tesla akakuchambulia utadhani personal assistant wa Musk
Kisha akakumalizia na jinsi gani Joe Biden ataloose election dhidj ya Trump akakula facts
Halafu akakandamizia na vifungu vya Bible kiasi kwamba kiranga cha ngeda anaokoka kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]
Yaani unakuta hupitwi na kitu
Sent using
Jamii Forums mobile app