Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

Miaka 10 maandalizi ya sensa lakini hadi sasa vifaa vya sensa hakuna. Hii ni aibu kwa taifa, aibu kwa Serikali

Watu wengi hawajahesabiwa kwa siku ya leo.
Ubahili wao nguvu kazi ndogo mno.. hv maswali zaid ya 60 kwa mtu mmoja..? Je familia za uswahili wanaoishi watu zaidi ya kumi na familia zao mixer wajukuu?

Au nyumba za kupanga zile kama madarasa ya shule? Hivi huyo karani akiingia humo si atatumia masaa zaid ya matano...?

KUNA HATARI KUBWA MNO HILI ZOEZI KUCHUKUA WIKI MBILI AU ZAID KWA HII NGUVU KAZI NI NDOGO MNO.
 
Mpaka sasa vifaa vingne bado havijafika eneo la kazi..chukulia mpaka jana fomu za kujaza watu waliolala gesti hazikuwepo? Haya leo utawapataje waliolala jana gesti na mahotelini...? Hii ngoma hawajiandaa kabsaa

Alafu anatokea mpuuzi mmoja anakwambia unahitaji kifaa gani nje ya tablets..?
Ni zaidi ya hatari
 
Back
Top Bottom