HayaSanaaaaa
We cheka tuu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
HallelujahSanaaaaa
2011 ndio nilanza kuijua jf, 2012 nikajiunga rasmi kama mwana chama kwa jina zawadi nikaitumia mpaka 2014. Ikawa kila nikiingia naambiwa nimekosea password. Nilivyofuatilia zaidi kwenye mada nilizoanzisha nikakuta zimeanzishwa na idawa badala ya zawadi.Kivipi yaani mkuu
Atii usipoweza wewe nani ataweza...Huyo simuwezi walaa
Aiseee!!
Anaelekea kunishinda akiAtii usipoweza wewe nani ataweza...
Hata huwa sijui...Hivi we mzee ni muhenga kweli
Basketball ya zamani was so fun to watch, Ila hii ya akina Curry, Point Guard kaanza kudrive akifika at the Centre tayari kashaatempt 3 Pts inakera kwa kweli. Ule udambwi dambwi wa Macross Over unapungua eti saizi unakuta Centre Yuko nje ya D anavizia naye afunge 3 Pts.Nilikuwa najitahidi kiasi chake...mimi ndio wale ukiniona utanidharau ila tukianza kucheza hutaamini kitakachokupata
Sasa hivi timu nzima ni 3pts shooters!Basketball ya zamani was so fun to watch, Ila hii ya akina Curry, Point Guard kaanza kudrive akifika at the Centre tayari kashaatempt 3 Pts inakera kwa kweli. Ule udambwi dambwi wa Macross Over unapungua eti saizi unakuta Centre Yuko nje ya D anavizia naye afunge 3 Pts.
You're missed
Imebidi niangalie.
Inaingia miaka 8 sasa.
AsanteNimejikuta nimeupenda huu uzi,watu wanacomment kistaarabu hadi raha,sijui umri nao unachangia? Hongera mtoa post u look so discent!
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...hujatuma banaa 🤣 🤣