Ila zinatolewaje?Kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kinachoandikwa. Nafikiri wengi wanafikiri connection utaitwa uambiwe njoo fanya abc utapata D. It doesn't work that way.
Sijawahi kujiita PRONDO....RRONDO aka Rajon Rondo
Ha ha ha jamaa aliuliza kama ana-dis ndio maana nikachomoa
Kama mimi tu, nimekuja kung'amua baada ya muda mrefu sana, kwamba ni RRONDO na sio PRONDO.Macho yangu yalikua na shida gani!! siku zote nilikua nasoma hii ID kama PRONDO na sio RRONDO. Nashindwa na kushangaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mtu ana namna yake ya kutafsiri kinachoandikwa. Nafikiri wengi wanafikiri connection utaitwa uambiwe njoo fanya abc utapata D. It doesn't work that way.
Kuna kipindi nadhani ilikuwa playoffs, kuna mdau aliwahi kukuuliza kama source ya hii ID ni Rondo ukakataa.
Kwenye uzi wa NBA I think.
Acha uchochezi nitaacha kuwa mteja wako....Sasa umeshawapa wenzio koneksheni au unawabania [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Noma, nakupigia baada ya dakika 30.
Acha uchochezi nitaacha kuwa mteja wako....
Siji tena kijiweni kwakoBrother acha zako toa koneksheni kwa wadogo zako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app