Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Kuna kipindi nadhani ilikuwa playoffs, kuna mdau aliwahi kukuuliza kama source ya hii ID ni Rondo ukakataa.

Kwenye uzi wa NBA I think.
Ha ha ha jamaa aliuliza kama ana-dis ndio maana nikachomoa
 
Hongera RRONDO kwa uzi huu... You can feel proud kwamba you loved n adored.. Keep neutral n calm.. Accept positive challenges and ignore abusive n negative ones. Halafu keep calm

Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom