Thats very gud Asprin, kip on tht sprit!Sina cha kusema kwakweli....ngoja King Teamo aamke akuje hapa waleteeni habari!
Palikuwa hapatoshi. Suprise ya nguvu......imagine mama Matesha alikuwa hakumbuki kama tarehe imefika! Nilimsuprise vibaya mpaka machozi yakamtoka....! Na vya kupewa nikajisevia kwa raha yangu...LOL:llama::llama::llama::llama::llama:
Ngoja Teamo aje aelezee kilichotokea....ndipo tutajua ni spirit ipi Beauty kaipenda......where is the King?? au bado kalala...which one now...
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)
Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.
Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.
Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!
Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:
Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!
:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
i had a good dream last night, kwamba kipengele cha wivu kimeongezwa kwenye sheria mama...
kaizer nawe, sprit mentioned hapo juu!which one now...
Thats very gud Asprin, kip on tht sprit!
Ngoja na mimi nimsubirie bwana Teamo aje kuguess ni ipi..i'm sure ataguess kininfii tu..!!Ngoja Teamo aje aelezee kilichotokea....ndipo tutajua ni spirit ipi Beauty kaipenda......where is the King?? au bado kalala...
Kadi yako ya infii umesha ichukua kwa The Finest?
unakosea sana Fidel, ulimaanisha, nilishaichana au nimeshaichukua? sikuichana niliichoma moto kabisa.
kaizer nawe, sprit mentioned hapo juu!
Ayaaaaaaaa kwa hiyo umeingia chama gani sasa? Yawezekana mbado upo singo kwa infii kwako mbado muda wake
anazo nyingi huyu!
Kadi yako ya infii umesha ichukua kwa The Finest?
unakosea sana Fidel, ulimaanisha, nilishaichana au nimeshaichukua? sikuichana niliichoma moto kabisa.
tatizo mnafananaisha wanachama wenu na wa kambi nyingine, hamna hata idadi ua usahihi wa wanachama wenu?? mtaibiwa shauri yenu.Ameishachukua na ada ya mwezi huu ameishalipa
ninayo tena nimeifanyia lamination kabisa, i love my upinzani card, siwezi kuiacha nyumbani.Nimekwambia unapaswa utembee na kadi yako haurusiwi kuiacha nyumbani