Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Sina cha kusema kwakweli....ngoja King Teamo aamke akuje hapa waleteeni habari!

Palikuwa hapatoshi. Suprise ya nguvu......imagine mama Matesha alikuwa hakumbuki kama tarehe imefika! Nilimsuprise vibaya mpaka machozi yakamtoka....! Na vya kupewa nikajisevia kwa raha yangu...LOL:llama::llama::llama::llama::llama:
Thats very gud Asprin, kip on tht sprit!
 
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:

inabidi muongowane naye kwenye ulabu
 
Ngoja Teamo aje aelezee kilichotokea....ndipo tutajua ni spirit ipi Beauty kaipenda......where is the King?? au bado kalala...
Ngoja na mimi nimsubirie bwana Teamo aje kuguess ni ipi..i'm sure ataguess kininfii tu..!!
 
unakosea sana Fidel, ulimaanisha, nilishaichana au nimeshaichukua? sikuichana niliichoma moto kabisa.

Ayaaaaaaaa kwa hiyo umeingia chama gani sasa? Yawezekana mbado upo singo kwa infii kwako mbado muda wake
 
Asprin kuna katoni mbili za VALUER, katoni mbili za SAFARI WOTA na kreti mbili za PEPSI nitaongea na eliza nione atazifikisha huko namna gani
 
Hongera zako Mkuu! Hiyo GAME si lele mama! Haitestiwi! Iko kama sumu.... Ukiingia no exit! !1O yrs sio MCHEZO! Mungu awabariki sana...
Shukrani kamanda! Nakuombea kwa Mungu nawe uweze kufuata nyazo zangu!
 
Back
Top Bottom