The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
tatizo mnafananaisha wanachama wenu na wa kambi nyingine, hamna hata idadi ua usahihi wa wanachama wenu?? mtaibiwa shauri yenu.
Mimi naomba umfikishie mama matesha pongezi zangu nyingi, kwani mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ila yeye amejitahidi kuimeinteini kwa kweli 10 yrs??????????????????????????? i'm so proud of her
Noted!:llama::llama::llama:
Noted!:llama::llama::llama:
Ahsante sana maty...........unaonaje ukinipa namba zako ili nikutumie namba zake umpongeze mwenyewe?
Tukutane kwenye PM huko:decision::decision::decision:
Hahahaha! umeonae? ikifika 20 tutapata mara tatu yake! NDOA na ZIDUMU!Mweka hazina...nimefurahishwa sana na kilichozalishwa na utimiaji wa miaka kumi ya ndoa yako...nimechukua minutes za kutosha hapa!
Samahani mjumbekama nimekunukuu vibaya. Chama kinathamini uwepo wako!I am sure THAT IS NOT how I said it......:mad2::mad2::mad2::mad2:
tofauti na nyie badala ya jogoo kuwika baada ya kukanwa, nyie Valeur zinavunjika.Hata Yuda alimkana Yesu tena mara tatu
tofauti na nyie badala ya jogoo kuwika baada ya kukanwa, nyie Valeur zinavunjika.
Samahani mjumbekama nimekunukuu vibaya. Chama kinathamini uwepo wako!
usindwe na ulegee, watu waje wajikoki kiulaini.Ngoja :A S 100::A S 100: na Eliza nimwambie akuletee
samahani kwa kukujibia hapa, kwakuwa wewe umeniPM, sasa jana tu umetimiza miaka 10 ya ndoa, leo umeniPM kwa hili, do you think ni sahihi? unataka ufikishe miaka kumi huku umeongeza mwingine utakaye anza kucount nae 1?We mbona hujibu PM yangu?
usindwe na ulegee, watu waje wajikoki kiulaini.
samahani kwa kukujibia hapa, kwakuwa wewe umeniPM, sasa jana tu umetimiza miaka 10 ya ndoa, leo umeniPM kwa hili, do you think ni sahihi? unataka ufikishe miaka kumi huku umeongeza mwingine utakaye anza kucount nae 1?
usindwe na ulegee, watu waje wajikoki kiulaini.
Kadi ulirudisha lini? Ulimkabidhi nani? Mbona kikao cha jana ulihudhuria?Thats just it!!!
Unasahau kuwa mimi sio mwanachama wa chama chenu.....
Vipi umeionaje staili yangu?samahani kwa kukujibia hapa, kwakuwa wewe umeniPM, sasa jana tu umetimiza miaka 10 ya ndoa, leo umeniPM kwa hili, do you think ni sahihi? unataka ufikishe miaka kumi huku umeongeza mwingine utakaye anza kucount nae 1?