Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Mimi naomba umfikishie mama matesha pongezi zangu nyingi, kwani mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ila yeye amejitahidi kuimeinteini kwa kweli 10 yrs??????????????????????????? i'm so proud of her
 
Ahsante sana maty...........unaonaje ukinipa namba zako ili nikutumie namba zake umpongeze mwenyewe?

Tukutane kwenye PM huko:decision::decision::decision:
 
Noted!:llama::llama::llama:

Mweka hazina...nimefurahishwa sana na kilichozalishwa na utimiaji wa miaka kumi ya ndoa yako...nimechukua minutes za kutosha hapa!
 
Ahsante sana maty...........unaonaje ukinipa namba zako ili nikutumie namba zake umpongeze mwenyewe?

Tukutane kwenye PM huko:decision::decision::decision:

mwe!!!
 
Mweka hazina...nimefurahishwa sana na kilichozalishwa na utimiaji wa miaka kumi ya ndoa yako...nimechukua minutes za kutosha hapa!
Hahahaha! umeonae? ikifika 20 tutapata mara tatu yake! NDOA na ZIDUMU!

I am sure THAT IS NOT how I said it......:mad2::mad2::mad2::mad2:
Samahani mjumbekama nimekunukuu vibaya. Chama kinathamini uwepo wako!
 
Hongera sana kaka, endelea kumpendana na huyu wifi yetu mpaka msherehekee mwaka wa 50 wa ndoa!!!
 
Ahsante mama mdogo. Mungu akubariki na kukulinda sasa na hata milele. watu wote semeni :amen:
 
We mbona hujibu PM yangu?
samahani kwa kukujibia hapa, kwakuwa wewe umeniPM, sasa jana tu umetimiza miaka 10 ya ndoa, leo umeniPM kwa hili, do you think ni sahihi? unataka ufikishe miaka kumi huku umeongeza mwingine utakaye anza kucount nae 1?
 
hahahahahah.......
 
Thats just it!!!
Unasahau kuwa mimi sio mwanachama wa chama chenu.....
Kadi ulirudisha lini? Ulimkabidhi nani? Mbona kikao cha jana ulihudhuria?

samahani kwa kukujibia hapa, kwakuwa wewe umeniPM, sasa jana tu umetimiza miaka 10 ya ndoa, leo umeniPM kwa hili, do you think ni sahihi? unataka ufikishe miaka kumi huku umeongeza mwingine utakaye anza kucount nae 1?
Vipi umeionaje staili yangu?
 
Back
Top Bottom