The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
hehehehehe!
jamani eeh habari za asubuhi jamani!
kwanza kabisa na[enda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa kunipa nafasi ya kuwawakilisha ''jamiiforums'' members wote KWA UJUMLA WENU kwenye hafla fupi ya kumpongeza kaka yetu mpendwa kwa kutimiza miaka kumi ya ndoa.
RIPOTI NI KWAMBA tuliinjoi sana kwakweli nawashukuru sana kwa kunipa fursa hiyo ya kuwawakilisha kama ''the king'' wenu!.
NImegundua dawa nyingine ya usingizi kwa siku ya jana jamani...nilidhani ni muda muafaka tukapeana uzoefu!UKICHANGANYA GRANTS,RED WINE,KONYAGI NA SERENGETI YA BARIDI kwakweli unatengeneza concetrated PIRITON!kwa hiyo bwana acid na timu yako ya chemba chukueni formula hiyo ingieni maabara then mje hapa!
nitarudi jamani,naendesha tukutuku sasa natoka home kerege nakuja dar natafuta cafe tuzungumze kidogo
Habarrriiiiiiii yako bana huo mchanganyiko tutaupa jina ISC SEX ON THE BEACH.