Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

hongera big bro. may God bless you guys
 
hongera big bro. may God bless you guys
Thanx mamaa la carmel. Ucjali, miaka tisa si mingi, ntakuombea nawe ufikie nilipofikia mimi. Ofkoz uwe na heshima, utii na adabu kwa mumeo. Sawa mama? Oke, kawahi kupika mama.
 
Hongera sana brother, ni wanaume wachache wanaweza kusema mambo mazuri kuhusu wake zao. Ila wewe nakupa BIG UP. Kilaji punguza kidog.

WISH YOU ALL THE BEST! URUDI HAPA UKITWAMBIA UNA MIAKA 25 YA NDOA. KEEP IT UP BROTHER
Ahsante sana. Nitazingatia ushauri wako, ila hilo la ulabu, inahitajika sala na maombi ya Yesu mwenyewe. Kina kakobe & co tutawaonea bure.
 
Kwa suala la kutimiza miaka kumi ya ndoa limekubalika sana...basi napendekeza hii thredi iendelezwa hadi siku asprin na mama matesha watakapogonga miongo miwili ya ndoa i.e. mwaka 2020.
 
Bado tunaendelea kukupongeza endelea kuwa mme mwema ...
shikamoo kaka
 
Bado tunaendelea kukupongeza endelea kuwa mme mwema ...
shikamoo kaka
Nashukuru japokuwa hiyo kuniita kaka kumenikatisha tamaa sana!:hand::hand::hand::hand:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…