Pape
JF-Expert Member
- Dec 11, 2008
- 5,487
- 83
This is your duty! poster #2....on every topic!Hongera SANA mkuu!
This is great...unafanana na mimi kila kitu, kasoro kwenye ULABU na infidelity!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
This is your duty! poster #2....on every topic!Hongera SANA mkuu!
This is great...unafanana na mimi kila kitu, kasoro kwenye ULABU na infidelity!
Line 2 please...
Not applicable.....
hongera big bro. may God bless you guysTarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)
Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.
Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.
Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!
Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:
Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!
:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
Ahsante sana. Nitazingatia ushauri wako, ila hilo la ulabu, inahitajika sala na maombi ya Yesu mwenyewe. Kina kakobe & co tutawaonea bure.Hongera sana brother, ni wanaume wachache wanaweza kusema mambo mazuri kuhusu wake zao. Ila wewe nakupa BIG UP. Kilaji punguza kidog.
WISH YOU ALL THE BEST! URUDI HAPA UKITWAMBIA UNA MIAKA 25 YA NDOA. KEEP IT UP BROTHER
In that case nitatumia mbinu za porini....sheria zetu haziruhusu kushindwa...
hongera kaka yangu.unastahili pongezi.:grouphug::clap2:
Woote kwa pamoja Ahsanteni sana.......Hasa hasa dada Remmy! (Msitafiri vibaya wajameni!:hand::hand:
Ahsante kwa dedication kwa mai waifu...sasa mimi unanidediketia nini? Angalizo: Huwa sipendi sana dedikesheni za muziki, maua wala kadi! Nikulipie kadi?
Yaani wewe sijakupatia mfano.... nimejikuta nacheka ofcn kwa boss kisa nimeikumbuka hii post.Nashukuru japokuwa hiyo kuniita kaka kumenikatisha tamaa sana!:hand::hand::hand::hand:
Nashukuru japokuwa hiyo kuniita kaka kumenikatisha tamaa sana!:hand::hand::hand::hand:
Yaani wewe sijakupatia mfano.... nimejikuta nacheka ofcn kwa boss kisa nimeikumbuka hii post.
Unaonaje na hiyo shikamoo ukaipotezea? Manake dah!:A S 13::A S 13::A S 13:kumbe ulitaka nikuite shikamoo sweetheart?:A S wink: