Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holder, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)
Kumbeeee!!
 
mijitu mingine ni ya kuipotezea tu my love.....

baby ndo kama ivo nimeshaipotezea......hapa tupo tunasherekea miaka kumi ya ODM ...kazi ndo hiyo tu....hik hik hik....koh koh...ebu niongezeeni haka kakinywaji leo ni kujirusha tu....
 
hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs

Ebwana yule mende wa salenda naye itabidi ukifikisha miaka kumi umjumuishe kwenye pongezi maana aliinusuru antena yako
 
hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs

Ndo maana ushauri wako unakua against infedility....ungemuuliza Asprin mwaka 2000 angesema No to Indelity kama wewe...
 
Hongera sana Asprin pamoja na mai waifu wako, Mungu awazidishie maisha mema na marefu, yalojaa furaha,upendo,amani na matunda yoote ya roho. :amen:
 
Ndo maana ushauri wako unakua against infedility....ungemuuliza Asprin mwaka 2000 angesema No to Indelity kama wewe...

Tatizo Asprin alikuwa ameishaanza kuchukua kozi fupi fupi za INFI kwahiyo bado isingesaidia
 
the sweetest thing you can ever taste... nice, soft and smoooootttthh, all muscles relaxed

Hahahaaa...
Mkuu you just painted this monday white....ilikua very blue...
 
Hongera sana Asprin pamoja na mai waifu wako, Mungu awazidishie maisha mema na marefu, yalojaa furaha,upendo,amani na matunda yoote ya roho. :amen:

habari yako mamito, upooo!!!!
 
Hongera nyingi kwako Kaka and to Mama Matesha.

Well done:cheer2:
 
Kadi za mwaliko zinapatikana kaunta ipi? Asprin umeninong'oneza nashindwa kukaa nalo
 
baby ndo kama ivo nimeshaipotezea......hapa tupo tunasherekea miaka kumi ya ODM ...kazi ndo hiyo tu....hik hik hik....koh koh...ebu niongezeeni haka kakinywaji leo ni kujirusha tu....

Tuna rewind Ijumaa
 
Hongera sana mkuu mungu awajalie upendo usiochuja.
 
Miaka kumi ni mwendo mzuri, ikifika ishirini, kama bado mtakuwa na bond nzuri kama hii basi pale ni mwanzo wa new friendship, i.e is like new dating in you!!! Na pale unaendelea kupiga goti kuombea ndoa yenu na ikifika 30 years ni celebration of your life achievements, together!!! Yaani hapa kama ni matatizo ya ndoa inakuwa kama simulizi kabisa, you enjoy, some with grandchildren!!! I love it!! Hongera sana mkuu, bado mwendo upo kaza buti kuimarisha mahusiano yenu!! Ndoa na iheshimiwe na watu wote, Mungu anachukia talaka!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…