Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbeeee!!Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holder, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)
hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs
ha ha ha ha!hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs
mijitu mingine ni ya kuipotezea tu my love.....
hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs
hongera mkuu mm yangu inafikisha mwaka 1 mwezi ujao so umeniacha 9 yrs
the sweetest thing you can ever taste... nice, soft and smoooootttthh, all muscles relaxedHivi akinywa Nyamayao anakuaje tena? Au ni the opposite?
the sweetest thing you can ever taste... Nice, soft and smoooootttthh, all muscles relaxed
Ndo maana ushauri wako unakua against infedility....ungemuuliza Asprin mwaka 2000 angesema No to Indelity kama wewe...
the sweetest thing you can ever taste... nice, soft and smoooootttthh, all muscles relaxed
Hongera sana Asprin pamoja na mai waifu wako, Mungu awazidishie maisha mema na marefu, yalojaa furaha,upendo,amani na matunda yoote ya roho. :amen:
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)
Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.
Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.
Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!
Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:
Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!
:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
Kadi za mwaliko zinapatikana kaunta ipi? Asprin umeninong'oneza nashindwa kukaa nalo
baby ndo kama ivo nimeshaipotezea......hapa tupo tunasherekea miaka kumi ya ODM ...kazi ndo hiyo tu....hik hik hik....koh koh...ebu niongezeeni haka kakinywaji leo ni kujirusha tu....