Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

aluu in fact kuna nyingin zinaitwa banana wine and co hizo hazina hata nembo ya TBS....kuna vijana wameshindwa ndoa zao sababu ya hizo pombe.....sasa kwa vile tunaadhimisha miaka 10 ya ndoa ya ODM...please na wanywaji wa hizo watusamehe kwa kweli....

Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holder, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)
 
Hahahaha! Ahsante hommie..

Halafu hii rule namba 3 kuna baadhi ya maneno yanahitajika ufafanuzi
KIZURI ni kipi? kuna kizuri A na kizuri B?
NDUGUYO ni nani?

Naomba kuwasilisha mheshimiwa mwenyekiti!

Hili ngoja nimwambie katibu ali minute tulipeleke kwenye mjadala husika......

unakumbuka hadithi ya msamaria mwema.....mlawi....kuhani....na msamaria....jirani/ndugu yako ni nani.....hahahahha
 
ACID, TEAMO, ASPRIN, KAIZER, ROYA ROY, FIDEL80, aisee nahitaji zile desa mlizokuwa mnatumia wakati mko chuo kwa kuwa soon najiandaa kuingia kilingeni nahitaji kugonga nyundo kumi + na zaidi kama ASPRIN nafikiri mtanipa muktadha wakati wa hafla ya kumpongeza ASPRIN.
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holde, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)

:closed_2::closed_2::humble:
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holde, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)

😛ound:😛ound:ngoja niendelee :typing::typing: maana hiyo explanation hapo nimekusoma vizuri kaka yangu
 
ukizingatia wewe umeshaolewa na kuachika mara nne..............

he! umetokapi? Mrs wangu kaachika mara 4? mi sijamwacha.....na nimeoa ki2 kipya...sasa huu kama sio ushankupe ni nini?:A S 13:
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holde, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)

haaaaa.....wewe wewe, umenivunja mbavu jamani, kakangu leo umebakiza akili nyumbani umechota kidogo kwa matumizi ya leo kwa bahati mbaya zimekuishia njiani...haaaa, ndio matokeo yake haya...lol
 
Congrats Asprin 10yrz c mchezo..hopefly hata tabia za kibazazi za infidelty utaacha..wshin u 70+ yrz mo yenye furaha katika ndoa yenu!!
 
ACID, TEAMO, ASPRIN, KAIZER, ROYA ROY, FIDEL80, aisee nahitaji zile desa mlizokuwa mnatumia wakati mko chuo kwa kuwa soon najiandaa kuingia kilingeni nahitaji kugonga nyundo kumi + na zaidi kama ASPRIN nafikiri mtanipa muktadha wakati wa hafla ya kumpongeza ASPRIN.
usikonde mkuu.... wengine bado tuko nyuma ndo kwanza tumegusa saba

unataka praktiko au theory?
 
Both wanasema mwanafunzi mzuri ni yule aliyehitimu both praktiko na theoretikali yupo fit
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holde, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)

hahahahah........... dah haya macho yangu bana........ :doh:
 
Humu kwa thredi kuna minutes kibao....
Hapa niweke rule 3 vizuri
Ndugu ni ndugu (hakuna definition nyingine), infact infii wote wa jinsia yako ni ndugu zako
Kizuri ni kile ufurahiacho nje ya nyumbani....nitoe mifano Asprin???
 
he! umetokapi? Mrs wangu kaachika mara 4? mi sijamwacha.....na nimeoa ki2 kipya...sasa huu kama sio ushankupe ni nini?:A S 13:

mijitu mingine ni ya kuipotezea tu my love.....
 
usikonde mkuu.... wengine bado tuko nyuma ndo kwanza tumegusa saba

unataka praktiko au theory?
hehehe!
mpatie ile dokyumentare yako ulivyokuwa masomoni afganistan!:A S-rap::A S-rap:
 
Mkuu hizo ni balaa.... ukinywa hizo ukakua kama key holder, inanyooka ikining'inia tu, ukiisimamisha yenyewe nehi che!!! (sshhhh akina dada wasijue)

Hivi akinywa Nyamayao anakuaje tena? Au ni the opposite?
 
Back
Top Bottom