mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,661
- 1,267
Sio kila ki2 kinaigwa,haya mambo mengine ni ya kuomba Mungu,huwezi jua mkeo atakuwaje!!Hongera sana miaka 10 si mchezo mmevuka milima na mabonde hapo.
Mi lazima niige nyayo zako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kila ki2 kinaigwa,haya mambo mengine ni ya kuomba Mungu,huwezi jua mkeo atakuwaje!!Hongera sana miaka 10 si mchezo mmevuka milima na mabonde hapo.
Mi lazima niige nyayo zako
Hahahahahha ok.Sheria namba tatu inatekelezeka sana si unajua kila chama uwa ni clause ya CONFIDENTIALITY kwahiyo wengi wao baada ya kutekeleza sheria namba 3 huwa wanapenda kuwe na CONFIDENTIALITY na sisi kama hatuna ubaya na hilo kwenye chama
jamani samahani kidogo jamani!....
hii sredi inahusu nini vile?samahani lakini
Roya rejea post ya Carine eh sijui CareenInahusu miaka kumi ya infidelity...bila spouse wa infideletor kujua...
Bila samahani...
Roya rejea post ya Carine eh sijui Careen
So do not bold hiyo ya spouse wa Infidelator hajui.....
Ahsante kwa dedication kwa mai waifu...sasa mimi unanidediketia nini? Angalizo: Huwa sipendi sana dedikesheni za muziki, maua wala kadi! Nikulipie kadi?
Kwekwekwe.......... umeenda kufufua kiporo?...LOL..........Senkyu...maisha lazima yasonge mbele!Aaaaaaaaaaaaaaa babuuuuuuu!!!!!! nilipitwa hapa thanx for the link...... nimekupita mbali sana subiria mwezi ujao nije na single kama hii utachoka mwenyewe!!!!
si unajua viporo vingine ni noma, unamkubuka kiporo cha wali na mandondo, au kiporo cha kisamvu?? hiki naweza fananisha na hivyo.......Kwekwekwe.......... umeenda kufufua kiporo?...LOL..........Senkyu...maisha lazima yasonge mbele!
Hayo yapo mkuu ni kumwomba Mungu tu, wengi tunapitia huko ila tunasonga mbele tuna mm bado kidogo nitafikisha tu-miaka kumi kama asprini, kaka hongera, ila mwenzio kuna viji-misukosuko sijui ntafika?
Siwezi kufumwa kwakuwa nafuata sana sheria zetu...... wazijua au nikupe?si unajua viporo vingine ni noma, unamkubuka kiporo cha wali na mandondo, au kiporo cha kisamvu?? hiki naweza fananisha na hivyo.......
hongera umejikongoja ila sasa hivi unakoelekea bibi anaweza kukufuma maana umesema hajawah kukufuma siku akikufuma utajuta
Ukikwama njiani usisite kututafut wakoongwe tukushauri.....sawaeh?na mm bado kidogo nitafikisha tu-miaka kumi kama asprini, kaka hongera, ila mwenzio kuna viji-misukosuko sijui ntafika?
Ushauri na itifaki vitazingatiwa..... shukrani mkuuHongera sana kwa hilo,ten years sio mchezo mimi nina 11yrs i know what it takes! ila punguza basi ulabu kidogo uwahi kurudi home, mana umesema unaweza kumaliza 5days hujawaona watoto! punguza jamani japo mkeo halalamiki kwa hilo but usimtake for granted! mwombeni sana mungu awapiganie zaidi kwenye ndoa yenu. mpe hongera sana mkeo mana inaonekana goti lake kwa mungu linajibiwa kila kukicha!
Hongera sana, keep it up
Babu Leo jioni naletaMaziwa .. hopefulNtakupa full story na Na ningependa kuwapongeza upya..ulikuwa wapi siku zote?