Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

jamani samahani kidogo jamani!....

hii sredi inahusu nini vile?samahani lakini
 
Sheria namba tatu inatekelezeka sana si unajua kila chama uwa ni clause ya CONFIDENTIALITY kwahiyo wengi wao baada ya kutekeleza sheria namba 3 huwa wanapenda kuwe na CONFIDENTIALITY na sisi kama hatuna ubaya na hilo kwenye chama
Hahahahahha ok.
 
jamani samahani kidogo jamani!....

hii sredi inahusu nini vile?samahani lakini

Inahusu miaka kumi ya infidelity...bila spouse wa infideletor kujua...
Bila samahani...
 
Ahsante kwa dedication kwa mai waifu...sasa mimi unanidediketia nini? Angalizo: Huwa sipendi sana dedikesheni za muziki, maua wala kadi! Nikulipie kadi?

Wewe nitakuzawadia 'Russky Standart' mana najua hiyo idara unashiriki vizuri!!..haya enjoy the rest of your anniversary!!!
 
Asprin
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • message.png
    Private Message
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
  • email.png
    Send Email
user-offline.png
JF Premium Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join DateSat Mar 2008LocationMartenity WardPosts9,198Thanks2,969Thanked 3,703 Times in 2,462 PostsRep Power41

Unatafuta nini maternity ward?
 
Aaaaaaaaaaaaaaa babuuuuuuu!!!!!! nilipitwa hapa thanx for the link...... nimekupita mbali sana subiria mwezi ujao nije na single kama hii utachoka mwenyewe!!!!
 
Kwekwekwe.......... umeenda kufufua kiporo?...LOL..........Senkyu...maisha lazima yasonge mbele!
 
si unajua viporo vingine ni noma, unamkubuka kiporo cha wali na mandondo, au kiporo cha kisamvu?? hiki naweza fananisha na hivyo.......
hongera umejikongoja ila sasa hivi unakoelekea bibi anaweza kukufuma maana umesema hajawah kukufuma siku akikufuma utajuta
 
na mm bado kidogo nitafikisha tu-miaka kumi kama asprini, kaka hongera, ila mwenzio kuna viji-misukosuko sijui ntafika?
 
Hongera sana kwa hilo,ten years sio mchezo mimi nina 11yrs i know what it takes! ila punguza basi ulabu kidogo uwahi kurudi home, mana umesema unaweza kumaliza 5days hujawaona watoto! punguza jamani japo mkeo halalamiki kwa hilo but usimtake for granted! mwombeni sana mungu awapiganie zaidi kwenye ndoa yenu. mpe hongera sana mkeo mana inaonekana goti lake kwa mungu linajibiwa kila kukicha!
Hongera sana, keep it up
 
Hayo yapo mkuu ni kumwomba Mungu tu, wengi tunapitia huko ila tunasonga mbele tu
 
si unajua viporo vingine ni noma, unamkubuka kiporo cha wali na mandondo, au kiporo cha kisamvu?? hiki naweza fananisha na hivyo.......
hongera umejikongoja ila sasa hivi unakoelekea bibi anaweza kukufuma maana umesema hajawah kukufuma siku akikufuma utajuta
Siwezi kufumwa kwakuwa nafuata sana sheria zetu...... wazijua au nikupe?
 
na mm bado kidogo nitafikisha tu-miaka kumi kama asprini, kaka hongera, ila mwenzio kuna viji-misukosuko sijui ntafika?
Ukikwama njiani usisite kututafut wakoongwe tukushauri.....sawaeh?

Hongera sana kwa hilo,ten years sio mchezo mimi nina 11yrs i know what it takes! ila punguza basi ulabu kidogo uwahi kurudi home, mana umesema unaweza kumaliza 5days hujawaona watoto! punguza jamani japo mkeo halalamiki kwa hilo but usimtake for granted! mwombeni sana mungu awapiganie zaidi kwenye ndoa yenu. mpe hongera sana mkeo mana inaonekana goti lake kwa mungu linajibiwa kila kukicha!
Hongera sana, keep it up
Ushauri na itifaki vitazingatiwa..... shukrani mkuu
 
Babu hongera sana
Nimechelewa kidogo
Hata hivyo nawaaombea 70
Zaidi mmbarikiwe sana
HAPPY ANNIVERSARY

.
 
Back
Top Bottom