Miaka 10 sasa jukwaani

Na mimi leo nimekubali aisee

Tena yaelekea kuna wengine wala hawana mbwembwe za post nyingi lakini ni hatareeee kwenye kumi na nane flani hivi😀😀😀
Kweli kabisa kaka

Kaka mtu chake aliwai sema hapa jf ina watu wake,, nilifikili sanaaa ila baadae nikakubali huu usemi,
Kumbe nawe ni legendari mkuu? Leo nimeyaona manyota yako aisee ukikaa katika meza moja na malegendari wa JF...salute
Hawa malegendari watupu, maprofeshenali kwenye tasnia

Hakuna namna ila kuwa watazamaji tu hapa
Hahahaha,acheni kunifurahisha bana,tulikua tunakumbuka kdg
 
Aisee we jamaa umenichekesha sana wallah....

Haka kathread umekafungua kanatuchafua watumishi wa Mungu...

Mi na ndugu yangu Kaizer hatuhusiki na huu ubazazi wenu. Malabuku zenu!
 
Umenifananisha na KakaKiiza ye alipoona mchuchu umekuja na kandambili akawahi kaunta, akajificha. Mchuchu ukajua mi ndo Kiiza... nilipotaka kuuonesha Kiiza ni yupi nikakuta njemba ishatimua. Nami nikaenda zangu kukojoa na kutokomea... Mzee Mtambuzi ndo anajua yaliyojiri baada ya hapo. Maana mzee yule hajuagi kuchagua kabisa...

Hapa mnaniharibia tu kwa Mzigua90 wakati nina kideti naye La Stanza weekend hii...
 
Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.
Kumbe hafai eeeh Mentor? Ngoja nijiweke tu aje akague babu mwenyewe
Sio cha kwangu... Ni KakaKiiza aliingia PM kubebisha mkongwe mmoja hivi... Mkongwe alivyotokea ndo nilijua jamaa lina kipaji cha kujificha. Sijui Celica ilipitia wapi maana nlishangaa tu haipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…