Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Kula like mkuuNami naziona hizo likes zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula like mkuuNami naziona hizo likes zake
Hawa malegendari watupu, maprofeshenali kwenye tasniaNgoja nikae kimya maaana kuna wahenga hapa hahahahaja ahahahahah
Kumbe nawe ni legendari mkuu? Leo nimeyaona manyota yako aisee ukikaa katika meza moja na malegendari wa JF...saluteHuu Uzi wa wakongwe apunguze matata
Kweli kabisa kakaHawa malegendari watupu, maprofeshenali kwenye tasnia
Hakuna namna ila kuwa watazamaji tu hapa
Na mimi leo nimekubali aiseeKweli kabisa kaka
Kaka mtu chake aliwai sema hapa jf ina watu wake,, nilifikili sanaaa ila baadae nikakubali huu usemi,
Hahahah hahaaaNa mimi leo nimekubali aisee
Tena yaelekea kuna wengine wala hawana mbwembwe za post nyingi lakini ni hatareeee kwenye kumi na nane flani hivi😀😀😀
Na mimi leo nimekubali aisee
Tena yaelekea kuna wengine wala hawana mbwembwe za post nyingi lakini ni hatareeee kwenye kumi na nane flani hivi😀😀😀
Kweli kabisa kaka
Kaka mtu chake aliwai sema hapa jf ina watu wake,, nilifikili sanaaa ila baadae nikakubali huu usemi,
Kumbe nawe ni legendari mkuu? Leo nimeyaona manyota yako aisee ukikaa katika meza moja na malegendari wa JF...salute
Hahahaha,acheni kunifurahisha bana,tulikua tunakumbuka kdgHawa malegendari watupu, maprofeshenali kwenye tasnia
Hakuna namna ila kuwa watazamaji tu hapa
Enzi zilikua tamu sana hizoHahahaha,acheni kunifurahisha bana,tulikua tunakumbuka kdg
Aisee we jamaa umenichekesha sana wallah....Kijana enzi zake mwaka mmoja anafanyiwa BD 3 na madem tofauti... Mungu anamuona huyu Mentor Senior Bazaz.. Pamoja na Mwenyekiti wake Nicas Mtei na Mtunza Fedha Kaka Kiiza.. Katibu Mkuu Babu Aspro na Afsa Habari Jiwe Linaloishi huku Katibu Msaidizi Steve..
Kuna na Mazaz wao nao wataanza kutajana hapa wakiongozwa na MALAIKA
Umenifananisha na KakaKiiza ye alipoona mchuchu umekuja na kandambili akawahi kaunta, akajificha. Mchuchu ukajua mi ndo Kiiza... nilipotaka kuuonesha Kiiza ni yupi nikakuta njemba ishatimua. Nami nikaenda zangu kukojoa na kutokomea... Mzee Mtambuzi ndo anajua yaliyojiri baada ya hapo. Maana mzee yule hajuagi kuchagua kabisa...Mungu wanguu weeeeeeeee.
Hivi unawajua hao jamaa vizuri.
Babu @Aspirin mwenyewe aliita kideti kikaja kimevaaa kandambili, alivyo falasi badala akampokeee Bebe yake yeye si akaingia chini ya meza na simu akazima. Manina walahi mtoto alikuwa kalowa vumbi miguuuni balaaa. Halafu wewe ndo unaomba wakakukague? Tena leoleo!?
Walaaaaahii hako Kabazazi kadogo ka@mentor hakafai kabisaa.
Unataka kumkagua nani??? Tuanzie hapo kwanzahebu toa kibali cha ukaguzi babu mjukuu wako mtiifu sana niteleze..I mean, nitekeleze.
Sio cha kwangu... Ni KakaKiiza aliingia PM kubebisha mkongwe mmoja hivi... Mkongwe alivyotokea ndo nilijua jamaa lina kipaji cha kujificha. Sijui Celica ilipitia wapi maana nlishangaa tu haipo!Kandambili?? Alimtolea wapi hicho kideti kinachovaa kandambili kwenda kwa mchuchu karne ya 21? Hata ningekua Mimi ningezima simu.
Kumbe hafai eeeh Mentor? Ngoja nijiweke tu aje akague babu mwenyewe
Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF.
Shumalam waitu!