Mimi nkmebakiza 4yrs kuukuta umri wako , graduate, sijaajiriwa , nimejiajiri changamoto kubwa ninayokutana nayo nimekuwa tegemezi wa familia djngi alishavuta kitambo maza hana a wala be kipato changu kidogo ninachopata kinaishia kusomesha ndugu na kusaidia familia tu, kuna wakati nashindwa hata kununua assets zangu mwenyewe kutokana na majukumu ya familia maana nimekuwa baba na mama .
Majukumu haya yamenifanya niogope kupiga mimba na kuoa kabisa.
Kutokana na changamoto zote za maisha kuwa tegemezi , ila nashukuru mungu biashara zangu zinakua kias fulani.
Naplan kuoa nitakapofikia umri wako