Darren2019
JF-Expert Member
- Nov 23, 2019
- 1,112
- 2,400
Soma taratibu uelewe, hivi kuna mwalimu mwenye kuanza kazi akalipwa 840K tena miaka 10 ilopita? Miaka 20+ unakopeshwa 48M na bado unaongeza 15M unafikiri mchezo ?? Acha utani asee walimu wana mishahara midogo mno, huko kushindwa kubadili nguo pengne majukumu mengne tu yamemkaba ila kiukweli walimu hawana pesa ya kufanyia sherehe.Ahaaaaaaaa umenikumbusha kuna ticha mmoja rafiki yangu damu amechongoka kama moja,yeye huwa habadilishi nguo anaweza vaa nguo moja hata wiki tatu bila kubadilisha hadi namuhurumia
Nimekuelewa vzr sana, wewe ni limbukeni sana, Mimi nilianzia sekta ya elimu,lkn siwez kumbeza mwalimu.Kuna vijana hapa wanakunywa meza jirani yangu na wanawake kama woote halafu nawajua vizuri ni hatari kwa future yao
Walimuuuuuuuuu mnakwama wapiii
Mtoa mada ni dawa kwa wengi
Ningeomba kama kuna mtu anaujua vizuri mfumo wa mikopo aanzishe uzi kuokoa hiki kizazi jamani
nina miaka kama mi4 kazini
kinachoniuma ni kupoteza pesa kwenye biznz ambayo sikuwa na abc nayo😡😡😡😡
Bora umeitumia mwezi mmoja na kula.mzinga.Angalau ulifaidi papuchi.. Mie niliingiza 22M kununua gari ikala mzinga ndani ya mwezi mmoja, nikaishia kuuza screppa Kariakoo.... Huna haja ya kujilaumu.. Mambo yote ni ubatili.
Sanaaaaa, watu wana nyota nzuri sana.Ila kuna watu wana bahati sana dunia hii.
Kabisa bossPole sana mkuu,zote ni changamoto mbele ya mafanikio
Nilichojifunza hapa
1.mke mwema hatafutwi, bali huwa anakuja pale huna hata wazo
2.Mungu hakupi unachotaka, bali unachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa umenichekesha sanapaploman....we hujala hela mdogo wangu...sisi tulikua hela kuja kushtuka utawala wa magu...acha kabisa halafu hapo age ipo 39 ndo akili inakuja acha kabisa
Mfano hai kuna kaka angu alikuwa anasema "aah dogo mi huyu dem hata simpendi kabisa napita nae tu kispoti" ,, mara kidogo tu kampiga mimba kwahyo ikabidi mjuba aoe kimazabe mazabe tu,,, cha kushangaza saiv wana watoto watatu ndoa ina miaka 15,, na wanapendana vizuri tuKabisa boss

Mkuu hongera sana, wapush hao ndugu zako kielimu bila kujali kama watalipa hizo ni baraka tosha.Mimi nkmebakiza 4yrs kuukuta umri wako , graduate, sijaajiriwa , nimejiajiri changamoto kubwa ninayokutana nayo nimekuwa tegemezi wa familia djngi alishavuta kitambo maza hana a wala be kipato changu kidogo ninachopata kinaishia kusomesha ndugu na kusaidia familia tu, kuna wakati nashindwa hata kununua assets zangu mwenyewe kutokana na majukumu ya familia maana nimekuwa baba na mama .
Majukumu haya yamenifanya niogope kupiga mimba na kuoa kabisa.
Kutokana na changamoto zote za maisha kuwa tegemezi , ila nashukuru mungu biashara zangu zinakua kias fulani.
Naplan kuoa nitakapofikia umri wako
Shukrani broMkuu hongera sana, wapush hao ndugu zako kielimu bila kujali kama watalipa hizo ni baraka tosha.
Ubarikiwe sana boss
mke mwema huletwa na bwana, hapo kwenye mahali pakuletewa kuna changamoto,Pole sana mkuu,zote ni changamoto mbele ya mafanikio
Nilichojifunza hapa
1.mke mwema hatafutwi, bali huwa anakuja pale huna hata wazo
2.Mungu hakupi unachotaka, bali unachostahili
Sent using Jamii Forums mobile app