Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Hiyo ndo shule ya maisha kaka,ila kuna vitu vya maana hapo ambavyo nimekusifu,au Mungu amekusaidia
1.Mke mwema,hapo, hujachelewa,mwanamke ana mchango mkubwa kukusaidia ufanikiwe.
2.Umejifunza makosa yako mapema na kujua namna ya kujirekebisha.
Pole ndugu.
 
Duuuh hongera sana.........hivi wenzetu mnaopata ajira mkiwa na 22 years huwa mpo kada ipi wakuu?
 
Duuuh hongera sana.........hivi wenzetu mnaopata ajira mkiwa na 22 years huwa mpo kada ipi wakuu?
Unakuta mtu kamaliza form 4 kapiga Dip miaka 2 au 3 kaingia kazini, hapo labda ni doploma ya famasia afu kalamba bingo MSD au labda ya engineering kaingia TICS ama TPDC...kuna watu life inawanyookea mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss, pole sana amini mungu ataonesha njia na dogo atasoma.
 
Thanks boss
 
Duuuh hongera sana.........hivi wenzetu mnaopata ajira mkiwa na 22 years huwa mpo kada ipi wakuu?
Boss hapo nyuma nafasi zilikuwa nyingi na baadhi ya kada wataalam walikuwa wachache sana tofauti na mda huu na pia hata Sasa wapo wanaopata katika umri huo wengi tu
 
Unakuta mtu kamaliza form 4 kapiga Dip miaka 2 au 3 kaingia kazini, hapo labda ni doploma ya famasia afu kalamba bingo MSD au labda ya engineering kaingia TICS ama TPDC...kuna watu life inawanyookea mapema sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanachelewa sana shule. Mimi nimemaliza degree tena ya miaka 4 na miaka 23, 24 kazini.
 
Wadada kwenye pesa hawanaga tatizo.

Wao wanajali Sana familia walizotokea,
Ni ngumu Sana kukuta Mdada anatapanya pesa.

Zaidi zaidi itakua kwenye vipodozi na nguo TU.

Kwa maana,
Asilimia kubwa ya wadada hawanywi pombe na wanaokunywa asilimia kubwa Ni zile za ofa tena mara moja moja.

Asilimia kubwa hawahongi, wanahongwa wao.
 
Hili nakubaliana na wewe boss, japo wapo wapuuzi wachache pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…