Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Mshukuru kwanza Mungu kwa hicho ulicho nacho kabla ya kusema maisha ni magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh technician hiyo hela ndo ulikuwa unapata kwa mwezi,shirika gani hilo?
Mashirika ya umma sio halmashauri mkuu, Yupo sahihi kabisa TBA, TANROAD, TANESCO, TANAPA hizo ndio scale zao technician Huwa wanaanza 1.1m Take home inaweza kucheza 900k hapo hujaweka Safari wala Overtime

ila kwa huyo mdau atakuwa alikuwa TANROAD tu mana kwa mwaka 2012 kama alienda kusoma Arusha Technical College ni wazi alienda kupiga course ya Civil and irrigation mana ndio course pekee ngazi ya degree iliyokuwepo chuoni hapo
 

Boss, ni kweli nimesoma Civil pale, ila kikazi sipo TANROAD na ofisi zetu huko arusha zimeshafungwa mda kidogo
 
Kweli maisha ni zawadi kwa wengine. Hapa naona wengi ambao mlipomaliza form 4 mkaenda certificate na diploma, ndio mliopata unafuu wa maisha. Ila sisi wengi tuliounganisha mpaka chuo naona 'chai ya moto'tunaipata kwakweli.
usikufuru Boss, kuna sehemu umepangiwa ni mungu tu anaefahamu hilo na inaweza kuwa bora zaidi, haya ni maisha wala hupaswi kuhuzunika unaweza kuanza kazi katika umri mdogo na bado usifanikiwe wewe ukaanza na 40 yakakunyookea kwa kipindi kifupi tu.

Iko siku yako mkuu.
 
hahaha wewe jamaa,πŸ˜› limbukeni wa papuchi
 
Mkuu nimekumbuka mbali sana,at age ya 23 nimepewa umeneja kampuni ya bia mkoa flani,daah maisha yale!! Nikapata mwanamke mzuri akakimbia! Pombe nyingiiii nyama nyingiii,daah nikalamba 25M bank ikapotea! Daah,ila niligundua makosa! Maisha yanasonga
 
Wavaa vitenge vyenye rangi ya blue,kijani,kaki,nyeusi,udongo wanaofunga Buti...Maisha ya kiumeni .....bakabaka niliajiriwa nikiwa mdogo mno nimeona mengi makubwa na yakutisha mno....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…