- Thread starter
- #321
kabisa kaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa kaka
Mshukuru kwanza Mungu kwa hicho ulicho nacho kabla ya kusema maisha ni magumu.Mimi nina miaka 5 kasoro miezi 2 katika utumishi wangu. Ninajutia mkopo wangu wa kwanza kufungulia duka. Ila huko nyie mnalipwa vizuri sana, ningekuwa huko kwa hii miaka 5 ningeacha kazi.
Nimejenga nyumba na kununua pikipiki moja tu. Maisha magumu mno kwangu mimi
Yaani kwenye papuchi kuchomoka ni ngumu cha msingi ni kwenda kimahesabu tu😀😀😀 bro ushazamia ubaharia na wewe umeshindwa kuchomoka?
kweli aiseee, haya mambo hayaYaani kwenye papuchi kuchomoka ni ngumu cha msingi ni kwenda kimahesabu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashirika ya umma sio halmashauri mkuu, Yupo sahihi kabisa TBA, TANROAD, TANESCO, TANAPA hizo ndio scale zao technician Huwa wanaanza 1.1m Take home inaweza kucheza 900k hapo hujaweka Safari wala OvertimeMmmh technician hiyo hela ndo ulikuwa unapata kwa mwezi,shirika gani hilo?
Sure mkuuKweli maisha ni zawadi kwa wengine. Hapa naona wengi ambao mlipomaliza form 4 mkaenda certificate na diploma, ndio mliopata unafuu wa maisha. Ila sisi wengi tuliounganisha mpaka chuo naona 'chai ya moto'tunaipata kwakweli.
Pole sana mkuuYep! Nilivuta mkopo bank nikaishia kulipia hewa! Wee, watu wa benki waliniendesha kama wamenioa vile!
samahani mkuu nje ya mada, Si kuna shule inaitwa Saint AnneHongera sana kwa kujitambua
Nilisikia ipo ila mimi siijui[emoji3526]samahani mkuu nje ya mada, Si kuna shule inaitwa Saint Anne
Mashirika ya umma sio halmashauri mkuu, Yupo sahihi kabisa TBA, TANROAD, TANESCO, TANAPA hizo ndio scale zao technician Huwa wanaanza 1.1m Take home inaweza kucheza 900k hapo hujaweka Safari wala Overtime ila kwa huyo mdau atakuwa alikuwa TANROAD tu mana kwa mwaka 2012 kama alienda kusoma Arusha Technical College ni wazi alienda kupiga course ya Civil and irrigation mana ndio course pekee ngazi ya degree iliyokuwepo chuoni hapo
😀 😀 utakuwa wewe ni mmoja wa walimu pale, mwanafunzi au mmilikiNilisikia ipo ila mimi siijui[emoji3526]
Wala😀 😀 utakuwa wewe ni mmoja wa walimu pale, mwanafunzi au mmiliki
😛😛 sawa Boss, japo huu ni uongo dhahiri kabisaWala
Jina langu halihusiani na Hiyo shule kabisa..kwanza hata siijui[emoji3]
usikufuru Boss, kuna sehemu umepangiwa ni mungu tu anaefahamu hilo na inaweza kuwa bora zaidi, haya ni maisha wala hupaswi kuhuzunika unaweza kuanza kazi katika umri mdogo na bado usifanikiwe wewe ukaanza na 40 yakakunyookea kwa kipindi kifupi tu.Kweli maisha ni zawadi kwa wengine. Hapa naona wengi ambao mlipomaliza form 4 mkaenda certificate na diploma, ndio mliopata unafuu wa maisha. Ila sisi wengi tuliounganisha mpaka chuo naona 'chai ya moto'tunaipata kwakweli.
hahaha wewe jamaa,😛 limbukeni wa papuchiDaaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu.
Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu. Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu inakuwa too late, kwahiyo nlichojifunza kuweza kuji control uache hizi mambo au mbadala uwe smart sana kuwa na baishara zinazokupa hela ya kufanya starehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu hata mimi nimepita Pale ila DiplomaBoss, ni kweli nimesoma Civil pale, ila kikazi sipo TANROAD na ofisi zetu huko arusha zimeshafungwa mda kidogo
😃😃😃😃Boss ndo ukubwa huo. Wewe umestuka mapema kuna wenzio wanakuja kustuka kipindi cha kustaafu huko.