Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Mimi nina miaka 5 kasoro miezi 2 katika utumishi wangu. Ninajutia mkopo wangu wa kwanza kufungulia duka. Ila huko nyie mnalipwa vizuri sana, ningekuwa huko kwa hii miaka 5 ningeacha kazi.
Nimejenga nyumba na kununua pikipiki moja tu. Maisha magumu mno kwangu mimi
Mshukuru kwanza Mungu kwa hicho ulicho nacho kabla ya kusema maisha ni magumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmh technician hiyo hela ndo ulikuwa unapata kwa mwezi,shirika gani hilo?
Mashirika ya umma sio halmashauri mkuu, Yupo sahihi kabisa TBA, TANROAD, TANESCO, TANAPA hizo ndio scale zao technician Huwa wanaanza 1.1m Take home inaweza kucheza 900k hapo hujaweka Safari wala Overtime

ila kwa huyo mdau atakuwa alikuwa TANROAD tu mana kwa mwaka 2012 kama alienda kusoma Arusha Technical College ni wazi alienda kupiga course ya Civil and irrigation mana ndio course pekee ngazi ya degree iliyokuwepo chuoni hapo
 
Mashirika ya umma sio halmashauri mkuu, Yupo sahihi kabisa TBA, TANROAD, TANESCO, TANAPA hizo ndio scale zao technician Huwa wanaanza 1.1m Take home inaweza kucheza 900k hapo hujaweka Safari wala Overtime ila kwa huyo mdau atakuwa alikuwa TANROAD tu mana kwa mwaka 2012 kama alienda kusoma Arusha Technical College ni wazi alienda kupiga course ya Civil and irrigation mana ndio course pekee ngazi ya degree iliyokuwepo chuoni hapo

Boss, ni kweli nimesoma Civil pale, ila kikazi sipo TANROAD na ofisi zetu huko arusha zimeshafungwa mda kidogo
 
Kweli maisha ni zawadi kwa wengine. Hapa naona wengi ambao mlipomaliza form 4 mkaenda certificate na diploma, ndio mliopata unafuu wa maisha. Ila sisi wengi tuliounganisha mpaka chuo naona 'chai ya moto'tunaipata kwakweli.
usikufuru Boss, kuna sehemu umepangiwa ni mungu tu anaefahamu hilo na inaweza kuwa bora zaidi, haya ni maisha wala hupaswi kuhuzunika unaweza kuanza kazi katika umri mdogo na bado usifanikiwe wewe ukaanza na 40 yakakunyookea kwa kipindi kifupi tu.

Iko siku yako mkuu.
 
Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu.

Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu. Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu inakuwa too late, kwahiyo nlichojifunza kuweza kuji control uache hizi mambo au mbadala uwe smart sana kuwa na baishara zinazokupa hela ya kufanya starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahaha wewe jamaa,😛 limbukeni wa papuchi
 
Mkuu nimekumbuka mbali sana,at age ya 23 nimepewa umeneja kampuni ya bia mkoa flani,daah maisha yale!! Nikapata mwanamke mzuri akakimbia! Pombe nyingiiii nyama nyingiii,daah nikalamba 25M bank ikapotea! Daah,ila niligundua makosa! Maisha yanasonga
 
Wavaa vitenge vyenye rangi ya blue,kijani,kaki,nyeusi,udongo wanaofunga Buti...Maisha ya kiumeni .....bakabaka niliajiriwa nikiwa mdogo mno nimeona mengi makubwa na yakutisha mno....
 
Back
Top Bottom