Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

All in all mkuu una bahati sana you get a job with 21 yrs and u paid over 850k,wengine we are approaching 32yrs with no reliable job hata laki 5 it's big deal then unakopeshwa over 45m kwa ajili tu ya ujenz na bado unafanya uhuni, some people are really blessed!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, kupata 'reliable job' ni bahati mno bro! Spend the small amount u get wisely!
 
Mm juzi tu demu wangu wa kimbulu alikuja geto eti kufumania kwa kuanza kupasua pasua madirisha ya vyoo. Ndani kulikuwa na demu wangu wa kinyaturu. Mziki wake usipime. Nameamua kuwatosa wote.

Nilimcheka jamaa yangu pale DSM kwa kuwagongesha madem zake wanne kwenye geto walichofanya ni kuanza kumpiga msera.

Jamaa sasa hivi nasikia ni mchungaji
 
Kila kitu huja na makusudi yake kiongozi yaani mie nina umri kama wako mwaka wa tano kazini, hakuna jipya.

Nimekaa nimetafakari leo nikajiona msengerema sana, nimeamua kubadilika naacha anasa.
Wa 1988 tupo wengi sana!!!jamaa alichokosea kikubwa ni hata kutopiga stori na ma senior kazini!hawa jamaa nawaheshim sana!huwa wanasema ukweli mtu!!mi nilipiga nao stori nikiwa field mwaka wa kwanza nikiwa bado UDSM majamaa yale ya shinyanga yalinisaidia sana kimawazo!!!DICKSON MTITI,SOLILE,SHIJA!!Mlinifungua macho sasa hv nipo kwenye right truck!!!
 
Mkuu mke wako anaitwa EMMY si eti..??? My ex aisei..
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
Nn lakini unataka kumtia presha mwenzio?

Mambo ya X yanatoka wapi? Mwisho utaanza kuropoka kuwa ulikuwa unapasha kiporo,,

Nahisi ni kweli, umeusoma uzi na ukakumbuka story alizokuhadithia x wako ukaunganisha dot,,dot,,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningepiga short cut ya kusoma. Baada ya miaka 3 tangu nimalize form 4 ningekuwa naajirika na diploma yangu na hadi wakati huu ningekuwa nishafika mbali. Kwa miaka hiyo tuliosoma sisi kazi zilikua nyingi mno.

Si kwamba sina kazi. Ila naona nimechelewa
Duuuh pole boss
 
Wewe hukufanya makosa bali umejifunza tu,ujinga kama huo ufanye ukiwa umevuka 35yrs. Sema nini umeanzisha familia ukiwa na umri mdogo sana faida yake akili inakomaa mapema sana,hasara yake unabeba majukumu mapema hivyo kukuongezea ugumu katika kufanya mambo makubwa hasa ukitaka kufanya biashara alafu umetoka familia masikini.
Hakuna hasara hapo mkuu. Kuna faida kubwa ya kuanzia family mapema. Zilizopo sio hasara ni changamoto tu
 
Pole sana mkuu, kumbe miaka yangu hii mitano ya utumishi nimefanya vingi wacha nijipongeze
 
Kipindi nipo chuo tunakula boom, kuna jamaa yangu mmoja akasema bwana hili boom nataka ligawa lazima nimlipie dogo ada, sijui nifanye mini nyumbani dah nikasema ngoja na miye niwasuprise nyumbani kwa kusema dogo nimlipie ada nifanye na baazi ya mambo

Mda wa likizo ya semester ya kwanza mwaka wa kwanza nimerudi home nikaanza kueleza nachotaka kufanya bi mkubwa akamwita baba njoo usikie mipango ya mwanao, mzee akanisikiliza akasema sawa ebu wasiliana na ndugu zako washirikishe suala lako kidume nikawashilikisha jibu nililopewa sikuamini mpaka nikabaki nashangaa maana sikuwa familia yetu bora sana ila kwanini waliniambia vile

Ndugu na wazazi waliambia sasa ni hivi we we unasoma haya majukumu ya kusomesha nini utayakuta tu sisi hapa tunataka uje na matokeo hatutaki kusikia umedisco wala nini hilo boom lako kale bata kula bata uwezavyo ila hakikisha hapa unakuja na cheti, wakanisisitiza ukikwama uko jiongeze maana hatuitaji hata mia yako hilo boom lako limalize kila kitu uko hapa tunaitaji cheti ukiugua sema, ila sijui huna hela ya kula sijui nini boom unalo wakamaliza

Bwana si niliambiwa boom nile bata nikaanza kula bata kweli kweli du yani wiki moja tu boom limekata unaanza msoto mungu wangu pass ndefu mala hivi mala vile yani chuo nikaanza jifunza kumbe pesa inataka nidhamu ila nikawa nasahau boom likitoka tu bata wiki moja hoi msoto tena huo ujinga ukaja stop mwaka wa tatu nikaanza heshimu boom bajeti zikaanza pangika bata nakula ila la kihesabu maaana najua likikata boom msoto

So chuo tukajifunza pesa inaitaji heshima totoz zipo, starehe zipo haziishi

Tulipofika makazini ukipata mshahara wala uwazi anasa maana unajua ukijifanya mwana kuyatafuta basi utayapata tu
 
Umeshtuka mapema mkuu!! Kuna mzee tupo naye kazini anastaafu mwakani amedata kabisa hana nyumba wala kiwanja ana watoto wapo sekondary!!
Enzi zake safari hazikosekani kwa mwezi hata mara 4...kuinguza night allowance,extr duty, safari milion 4 kwa mwezi ni kawaida sana kwake.... Amekumbuka shuka wakati hana la kufanya.
 
Back
Top Bottom