Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Dah!...The old man messed up.
 
βœ“[emoji769]Vip? Ugonjwa wa Ukimwi ukupata. Maana ungepata Ukimwi ingekuwa family nyingine kimatumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri huo hujachelewa. Mm nashukuru Mungu kipato kidogo na maisha yalivyomagumu hata mboo haisimami nikimwona mwanamke. Nashangaa kuona watu wanatafuta dawa kuongeza nguvu za kiume wakati wenzao tunaomba na kufunga Mungu atuondoe nguvu za kiume na tamaa za ngono zisitujie maana isije ikatuletea mauti na majuto mbeleni.
 

Nakumbuka kipindi hicho tulikuwa tunakaa kota sasa kuna mzee alikuwa ana mwaka mmoja tu astaafu na ndio anaanza kutafuta kiwanja. Miaka mingi imepita ila nasikia alirudi kwao mpanda

Hii thread ni reminder nzuri sana kwa vijana asee
 
Kama unamuheshimu mkeo, huwezi cheza tena mechi za nje. Acha hizo! NJOO KWA YESU UOKOLEWE!

ACHA KUJIDANGANYA KUWA UNAMUHESHIMU MKEO IWAPO UNA CHEAT NJE.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea fact sana kaka
 
Sema mshukuru Mungu kwa kuwa bado upo kazini na kizuri zaidi ulianza kazi katika umri mdogo sana hila ungekuwa umeajiriwa labda na miaka selathini sasa ndio ungeteseka zaidi ya unavyoteseka sasa hivi.. mshukuru tu Mungu kwa kweli maana ungeweza hata kukwaa magonjwa katika umri huo mdogo, cha msingi endelea kupambana huku ukiendelea kubadili mwenendo wa maisha yako.
 
haya ni maisha niliyoyapitia 2009 - 2015, na nilishajirekebisha toka hiyo 2015 nimeamua tu kushare kisa changu hapa ila sio kwamba nateseka kwa sasa
 
mkuu ni stori zipi unazomaanisha
 
Wazee wengi wa zamani bahati yake awe labda alisomesha watoto, kinyume na hapo sijui hela zao walikuwa wanafanyia nini?

Yani unakuta anakusimulia eti Kariakoo pale viwanja vilikuwa vinauzwa elfu 10, alafu sasa yeye hata chumba kimoja hana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…