Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Dah dsgn ka wanaume tunapitia mateso Sana bila ya kujijua hasa ambao tunaajiriwa katika age ya 20s, kuna wakati najifikiria na nahisi ka mi ndo nimekosea Sana ila kwa namna nilivosoma hoja tofauti tofauti za walimwengu wenzangu hapa nahisi hili janga ni la wote hasa kwa sisi tunaokula gambe na tukipataga mikopo ndo uwa tunanunua na pakti za embassy kabisa nyama sana na papuchi daily
 
Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu.

Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu. Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu inakuwa too late, kwahiyo nlichojifunza kuweza kuji control uache hizi mambo au mbadala uwe smart sana kuwa na baishara zinazokupa hela ya kufanya starehe.

Sent using Jamii Forums mobile app
starehe muhimu aisee 。。 unaachaje papuchi kwa mfano au mmerogwa😃😃 utakwenda kusimulia nini sasa huko uendapo pindi utakapokuwa umekufa... Kinachotakiwa nikubalancemambo yako ingiza pesa nyingi huku unakula bata😃😃
 
All in all mkuu una bahati sana you get a job with 21 yrs and u paid over 850k,wengine we are approaching 32yrs with no reliable job hata laki 5 it's big deal then unakopeshwa over 45m kwa ajili tu ya ujenz na bado unafanya uhuni, some people are really blessed!

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃 much really blessed
 
Kwa kuusema ukweli huu ambao ni somo kwa wengi ......Mungu atakuridishia ulivyopoteza ndani ya miaka michache ijayo
 
Dah dsgn ka wanaume tunapitia mateso Sana bila ya kujijua hasa ambao tunaajiriwa katika age ya 20s, kuna wakati najifikiria na nahisi ka mi ndo nimekosea Sana ila kwa namna nilivosoma hoja tofauti tofauti za walimwengu wenzangu hapa nahisi hili janga ni la wote hasa kwa sisi tunaokula gambe na tukipataga mikopo ndo uwa tunanunua na pakti za embassy kabisa nyama sana na papuchi daily
Kabisa mkuu
 
Wavaa vitenge vyenye rangi ya blue,kijani,kaki,nyeusi,udongo wanaofunga Buti...Maisha ya kiumeni .....bakabaka niliajiriwa nikiwa mdogo mno nimeona mengi makubwa na yakutisha mno....
Mkuu ikawaje
 
starehe muhimu aisee 。。 unaachaje papuchi kwa mfano au mmerogwa😃😃 utakwenda kusimulia nini sasa huko uendapo pindi utakapokuwa umekufa... Kinachotakiwa nikubalancemambo yako ingiza pesa nyingi huku unakula bata😃😃
Wewe jamaa mbiguni huendi😂😂
 
😃😃😃huo
Wewe jamaa mbiguni huendi😂😂
ndio ukweli mkuu. ..sinina sikia hata mitume ilikuwa na wake kibao mpaka na masuria. ..sasa wewe wadhani papuchi ni kitu cha mchezo mchezo. ...😃😃😃😃
 
Haijawahi tokea na haitaokea😅. Huwa najiuliza inakuaje wanaume wanahonga? Huwa sielewi ni mechanism gani wanayo. Salute kwenu
Seriously, hujawahi kuhongwa?🤔
 
😃😃😃huo

ndio ukweli mkuu. ..sinina sikia hata mitume ilikuwa na wake kibao mpaka na masuria. ..sasa wewe wadhani papuchi ni kitu cha mchezo mchezo. ...😃😃😃😃
😄😄Yani wewe unasubiriwa uwe kuni ndugu, peponi utakusikia tu
 
Back
Top Bottom