Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!Upo sahihi. Wakana Mungu nao wana yao dini. Hili tulishawahi jadili na Kiranga huko nyuma
Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini
Nimeifuatilia kwa Muda kiasi nyuzi hii https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/530789-mungu-hayupo-nahitaji-majibu-ya-maswali-haya-ili-nikubaliane-na-kiranga.html ambayo imekutanisha watu wa aina mbalimbali. Kwa kuwa nina ufahamu kiasi fulani ningependa kuanzisha mjadala huu tena. Swali...www.jamiiforums.com
Truly Apples and oranges !Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!
Utawala wa dini yoyote si mzuri.Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian system
Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!
Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?Truly Apples and oranges !
Can you prove 100% there is no God? If you can't then you just believe there is no God. A belief just like God exists!
Nadhani hili nimeli address kwenye thread tuliyo debate last time. Link ipo juu. Unaweza kuipitia ili upate majibu.Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?
Kuamini chochote maana yake ni dini?
A belief just like God exists!
Usikimbie swali.Nadhani hili nimeli address kwenye thread tuliyo debate last time. Link ipo juu. Unaweza kuipitia ili upate majibu...
Ujamaa na ubepari ni dini (imani) au ni mfumo wa maisha ya kiutawala?Si dini zote zina political system mfumo wa utawala, dini zenye mfumo wa utawala ni tatu tu: Ujamaa, Ubepari, na Uislamu
Naona unaleta ligi. Huna evidence yeyote kwamba kesho LAZIMA jua litachomoza. Ila unaamini based on previous experience kwamba litachomoza. Kama una evidence tuonyeshe.Usikimbie swali.
Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?....
Nimekuuliza swali hujalijibu.Naona unaleta ligi. Huna evidence yeyote kwamba kesho LAZIMA jua litachomoza. Ila unaamini based on previous experience kwamba litachomoza. Kama una evidence tuonyeshe...
Logical non sequitur nyingibsana mpaka tabu kuziorodhesha zote.Just to close the matter on my side, ukishaamini hakuna Mungu maana yake binadamu ni kuwa binadamu anaamua based on random chemical reactions on brain. No mind at all. That being the case, why are we even arguing? Your random chemicals might say what they want to say and mine will say what they want to say. No need to agree or disagree. Indeed chemicals have no need or obligations to do anything but react randomly. No need for argument at all...
Navyosema wanasherekea namaanisha ni shamra shamra na kufata kama mkristo yoyote afanyavyo na unakuta kila unakopita mfano india kwenye maeneo ya wahindu au china vivyo hivyo mbaka uarabun ambako ni nchi za kiislam but ukiona video zilitapakaa sana ni shamra za kufa mtu mbaka huwezi aminiKwani kusheherekea ni nini?
Unajuaje kwamba huyu kasherekea krismas na sio kwamba yupo katika utaratibu wake wa siku zote tu?
Kipi kiashiria kinachoonesha huyu anasherehekea na huyu hasheherekei?
Nashukulu nimetumikiaPapa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?
Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?
Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
Unaniuliza majukumu ya khalifa Mimi niliyejisarimisha kwa Mwenyezi Mungu,Labda nikufundishe wewe,Maana nilikuwa kwenye Ujahili kwa miaka mingi sana,nakukalibisha hata wewe kwenye Dini ya haki UisilamuPapa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?
Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
Kila mfumo wa maisha(ideology) ni dini, lakini si Kila dini ni mfumo wa maisha. Kwahiyo dini ya ubepari kwavile ni mfumo wa maisha una political system yake ambayo inaitwa democracy. Hali kadhalika ujamaa na uislamu nazo zina political system zaoUjamaa na ubepari ni dini (imani) au ni mfumo wa maisha ya kiutawala?
Dini Kama ilivyo vitu vingine hapa duniani Kuna sahihi na ambazo si sahihi. Muhimu ni kupima usahihi kwa vipimo vinavyokubaliana na akiliUkishasema tu dini yangu ndiyo sahihi, zenu mmekosea, ushataka kumtawala mwingine kinawazo hapo.
Dini zote ni siasa.
Dini ni siasa za kale zilizovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.
Ni jitihada za kujilimbikizia nguvu, mali, ardhi, watumwa, utawala, ushawishi na utakatifu uliojengwa kwenye uongo.
Asante ndigu yetu, karibuKila la heri
Khilafah mkuuTusmisimamishe nini mkuu???😆
Kuhusu hizb ut tahrir angalia hizb.or.tzWewe ni nani?