Jumlisha na Gharama zake sasa daah, i lost my grandma 3 years ago najua inavyomaliza uchumi wa familia kwa treatment zake.Huyu kaka huwa namuona mwenye upendo sana. Hata bar zake huduma ni nzuri huwezi kukuta ujinga. Mimi nilijua hiko kidude cheusi kwenye jicho ni swaga Kumbe ni kovu. Jaman cancer zitamaliza watu.....nauguza mgonjwa wa cancer mwaka wa 5 sasa Ila cancer ikibisha hodi nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona.
povu jingi Victoire ,kauza sembe we uza dona ,halafu mzungu gani yule jamaa kama mmasai bhanaMission town huyu,aliutumia uzembe wa serikali zilizopita akatusua. Kama unavyojua wabongo wakiona mzungu.
Jumlisha na Gharama zake sasa daah, i lost my grandma 3 years ago najua inavyomaliza uchumi wa familia kwa treatment zake.
Hata mtaani siku hizi napata heshima kwa comments zako humu, siachi kukusoma mkuu.. Respect sana brother [emoji109]Jamaa kaumwa jicho likatolewa, akaunganishia style ya U Pirate humohumo.
Hapo ndipo utajua maana ya "When you are given lemons, make lemonade.".
Don't cry for oranges.
Mkuu tatizo vijana wengi wamejazwa ujinga wa eti hakuna ajira na wakeshe mitandaoni kuiponda serikali kama walivyoamuriwa na akina Mbowe ,Lissu &Co wakati wao wenyewe na jamaa zao wanazitumia fursa vizuri,nadhani akina Yericko wangewasaidia wenzao kwa kuona umuhimu wa kujiajiri wenyewe na kuwaambia hakuna nchi duniani isiyo na ukosefu wa ajira au isyo na fursa.Tanzania nchi yenye kujaa fursa ambazo wageni huziona kwa wepesi kuliko Watanzania wenye nchi yao
Pamoja kaka.Hata mtaani siku hizi napata heshima kwa comments zako humu, siachi kukusoma mkuu.. Respect sana brother [emoji109]
Yani jamaa kama kweli kauza madawa halafu anaenda kwenye ma TV hivyo kuelezea maisha yake jinsi alivyotoboa, atakuwa mjinga sana.huu uzi umeelezea kidogo sana kuhusu hustle za huyu jamaa, nimesahau kidogo lakini jamaa historia yake haikuwa nyepesi hadi kafika hapo alipo sasa.
siku hiyo akijielezea historia ya kupitia 'channel namba 160 DSTV' KAMA HAUNA POTEZEA.
kwanza anakuambia darasani alikuwa kilaza, alivyomaliza kapitia mengi kabla ya kuja kutoboa.
uuzaji magari(udalali), muhudumu wa bar, zanzibari pia nimesahau kuna issue alienda kujaribu na zilikuwa zinafeli.
hata samaki hapo alivyoeleza alikuwa akiwajibika yeye jikoni, na kuhudumia wateja.
kama ingekuwa madawa angeshapotezwa kitambo na huu utawala wa sasa.
yaani tumfurushe Manji kumpima mkojo tumuogope huyu Kalito?
wabongo wengi wetu wavivu wa fikra halafu sio wastahimilivu, tuendelee kubett.
stori ya huyu jamaa ukiipata vema hasa kabla hajawa na hiyo samaki samaki ina mengi ya kujifunza
Yani jamaa kama kweli kauza madawa halafu anaenda kwenye ma TV hivyo kuelezea maisha yake jinsi alivyotoboa, atakuwa mjinga sana.
Mtu aliyetoboa kwa madawa kawaida hataki kujielezea sana maisha yake ametoboa vipi, kwa sababu akifanya hivyo anawapa nafasi wanaojua katoboa kwa madawa kusema habari hizo.
Na huyu jamaa si mjinga kwa hivyo inakuwa vigumu kukubali kafanya kitu bila mkakati.
Ushahidi utoke wapi,umaskini huleta roho mbaya/majungu/fitna.Kuna ushahidi juu ya hili?
Maneno ya mkosaji!Sembe!
Kiranga ni G.O.A.T(Greatest of All Time)..Do not ever expect non sense from him!
Pole sana mkuu,cancer ni hatari sana kama ukistukia kwenye stage 4.Huyu kaka huwa namuona mwenye upendo sana. Hata bar zake huduma ni nzuri huwezi kukuta ujinga. Mimi nilijua hiko kidude cheusi kwenye jicho ni swaga Kumbe ni kovu. Jaman cancer zitamaliza watu.....nauguza mgonjwa wa cancer mwaka wa 5 sasa Ila cancer ikibisha hodi nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona.