Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Huyu kaka huwa namuona mwenye upendo sana. Hata bar zake huduma ni nzuri huwezi kukuta ujinga. Mimi nilijua hiko kidude cheusi kwenye jicho ni swaga Kumbe ni kovu. Jaman cancer zitamaliza watu.....nauguza mgonjwa wa cancer mwaka wa 5 sasa Ila cancer ikibisha hodi nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona.
Jumlisha na Gharama zake sasa daah, i lost my grandma 3 years ago najua inavyomaliza uchumi wa familia kwa treatment zake.
 
Kuna mtu mmoja aliniambia ivi ni laisi Sana kwa mgeni kuziona fursa kuliko mwenyeji kwa sababu mgeni ametoka alikotoka kwa lengo la kutafuta
Mgeni huwa hana cha kupoteza mkuu.
 
Tanzania nchi yenye kujaa fursa ambazo wageni huziona kwa wepesi kuliko Watanzania wenye nchi yao
Mkuu tatizo vijana wengi wamejazwa ujinga wa eti hakuna ajira na wakeshe mitandaoni kuiponda serikali kama walivyoamuriwa na akina Mbowe ,Lissu &Co wakati wao wenyewe na jamaa zao wanazitumia fursa vizuri,nadhani akina Yericko wangewasaidia wenzao kwa kuona umuhimu wa kujiajiri wenyewe na kuwaambia hakuna nchi duniani isiyo na ukosefu wa ajira au isyo na fursa.
 
huu uzi umeelezea kidogo sana kuhusu hustle za huyu jamaa, nimesahau kidogo lakini jamaa historia yake haikuwa nyepesi hadi kafika hapo alipo sasa.

siku hiyo akijielezea historia ya kupitia 'channel namba 160 DSTV' KAMA HAUNA POTEZEA.
kwanza anakuambia darasani alikuwa kilaza, alivyomaliza kapitia mengi kabla ya kuja kutoboa.
uuzaji magari(udalali), muhudumu wa bar, zanzibari pia nimesahau kuna issue alienda kujaribu na zilikuwa zinafeli.
hata samaki hapo alivyoeleza alikuwa akiwajibika yeye jikoni, na kuhudumia wateja.
kama ingekuwa madawa angeshapotezwa kitambo na huu utawala wa sasa.
yaani tumfurushe Manji kumpima mkojo tumuogope huyu Kalito?

wabongo wengi wetu wavivu wa fikra halafu sio wastahimilivu, tuendelee kubett.
stori ya huyu jamaa ukiipata vema hasa kabla hajawa na hiyo samaki samaki ina mengi ya kujifunza
 
Yani jamaa kama kweli kauza madawa halafu anaenda kwenye ma TV hivyo kuelezea maisha yake jinsi alivyotoboa, atakuwa mjinga sana.

Mtu aliyetoboa kwa madawa kawaida hataki kujielezea sana maisha yake ametoboa vipi, kwa sababu akifanya hivyo anawapa nafasi wanaojua katoboa kwa madawa kusema habari hizo.

Na huyu jamaa si mjinga kwa hivyo inakuwa vigumu kukubali kafanya kitu bila mkakati.
 
Pamoja na mafanikio aliyopata pia ana moyo kusaidia jamii, nimejaribu kuingia yuotube kusaka yale mazungumzo haliyofanya kupitia dstv 160 kipindi kikiitwa 'maisha yangu'
watu wengine waliowahi kuelezea maisha yao pale Haji Manara, Nancy Sumari, Master J, John Stephen Ahkwari(mwanariadha huyu ambaye haki yake hakupewa) , Dina Marios

ni kweli mtu mwenye makandokando mengi huwezi thubutu kuelezea maisha yako, lkn jamaa naona pamoja na mambo mengine amejitangaza vema hata mimi nimepanga nikija dasalam[emoji23] niende hapo samaki samaki
Yani jamaa kama kweli kauza madawa halafu anaenda kwenye ma TV hivyo kuelezea maisha yake jinsi alivyotoboa, atakuwa mjinga sana.

Mtu aliyetoboa kwa madawa kawaida hataki kujielezea sana maisha yake ametoboa vipi, kwa sababu akifanya hivyo anawapa nafasi wanaojua katoboa kwa madawa kusema habari hizo.

Na huyu jamaa si mjinga kwa hivyo inakuwa vigumu kukubali kafanya kitu bila mkakati.
 
Huyu kaka huwa namuona mwenye upendo sana. Hata bar zake huduma ni nzuri huwezi kukuta ujinga. Mimi nilijua hiko kidude cheusi kwenye jicho ni swaga Kumbe ni kovu. Jaman cancer zitamaliza watu.....nauguza mgonjwa wa cancer mwaka wa 5 sasa Ila cancer ikibisha hodi nyumbani kwako hakuna rangi utaacha ona.
Pole sana mkuu,cancer ni hatari sana kama ukistukia kwenye stage 4.
 
Back
Top Bottom