D
Kweli kabisa, hili alishawahi kusema Fid Q kwenye Media Moja Kwamba walipokuwa wanarekodi wimbo wa CNN, ilibidi Mashauri ya awali ayafute, atunge upya...huku Producer Majani akiweka unyama mwingi sana kwenye Beat.Mpaka sasa kwenye free style hakuna wa kumkuta Ngwear... alikua akiitwa hata usingizini anaingiza verse. Ilikua wewe mpe tittle ya nyimbo mengine muachie. Atakuua
Ngwea hakua na mistari mikali kama jay mo. Sema jamaa alikua na flow kali yaani hata ukimpa biti la singeri anashuka naloKweli kabisa, hili alishawahi kusema Fid Q kwenye Media Moja Kwamba walipokuwa wanarekodi wimbo wa CNN, ilibidi Mashauri ya awali ayafute, atunge upya...huku Producer Majani akiweka unyama mwingi sana kwenye Beat.
Ngwair aliitendea vyema Sana Beat ya Majani kwenye wimbo wa CNN
Mkuu kwa hili wala usizipe media za bongo lawama, coz wamekufa celebrities wengi hapa bongo ila naona ngwea amekua na bahati ya kipekee sana kupewa heshima hiyo.Naona Media zote Bongo wapo kimya sana
Kweli kabisa. Naona hata Mawingu FM wapo kimya hata MC Chonde haijatoa file lake kwenye Seva. Yaani ni changamoto sanaMkuu kwa hili wala usizipe media za bongo lawama, coz wamekufa celebrities wengi hapa bongo ila naona ngwea amekua na bahati ya kipekee sana kupewa heshima hiyo.
Nafkiri ungeanzishwa utamaduni na wasanii wa bongo fleva kuwa enzi wenzao ingeleta maana zaidi