Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Hongera sana chief, nitafata nyayo zako.
 
Mkuu katika mambo ya msingi uliyoyafanya kwenye maisha yako ambayo hutokuja kujutia maishani hili ni moja wapo. Hongera sana, natamani unipe trick ulizotumia kukwepa kuchekupa kwa miaka yote 15, sio jambo la mchezo hakika.
 
Hadi weye mwenyewe unajishangaa?Mwafrika akili zake alizitupa mto Nile!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hongera sana! Kuna jamaa alifunga ndoa ya serikali asubuhi na jioni akafumaniwa na mke wa mtu.
 
Mkuu mleta uzi nakubaliana na wewe kwamba inawezekana pasipo na shaka ila Kuna mazingira ambayo kutoka nje ya ndoa haikwepeki .mfano nimeoa mwanamke huu mwaka wapi na sijaona Kama Kuna hata dalili ya ijauzito na amani ndani ya ndoa haipo maana mwenzako anaona Kama vile anapoteza muda tu sasa kwenye hali Kama hiyo hauwezi kukwepa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…