Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuepo.

Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia.

Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu, nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha, nakupenda sana bebe.
Hongereni sana sana, MUNGU wa ISRAEL AWATUNZE.

Mimi mwenyewe MUNGU alinipatia mke mwema hapahapa Jamiiforum miaka saba iliyopita na MUNGU ametuwezesha kuwa na maisha ya furaha na upendo wa hali ya juu na mafanikio makubwa na kuaminiana na kwetu kuchepuka hayupo kabisa.

Jamani wenye shuhuda kama hizi mziweke hapa, maana kuna wanaota kuingia kwenye ndoa wasiwe na mashaka na hofu kuwa ndoa ni mateso.

Ndoa ni paradiso hakika mimi najionea mwenyewe.
 
Mwaka mmoja na ushee ndani ya ndoa hujamvua picchu mkeo? Na wewe unaridhika na hali hii!? 😳Usikute kuna mtu anamkuna mkeo.
Hongera ulibahatika kupata mke mwema. Wala usijisifu kwa hilo. Tuliovutiwa na sura tukaoa tunajutia japo mm nna miaka 10 kwenye ndoa nimechepuka mara nyingi kuliko kipindi sijaoa. And sijutii na ninaona ni haki yangu. Nina mwaka na miezi kadhaa sijaona lango la shrmeji yenu, hatujagombana and yupo confotable wala haulizi
 
Hongereni sana sana, MUNGU wa ISRAEL AWATUNZE.

Mimi mwenyewe MUNGU alinipatia mke mwema hapahapa Jamiiforum miaka saba iliyopita na MUNGU ametuwezesha kuwa na maisha ya furaha na upendo wa hali ya juu na mafanikio makubwa na kuaminiana na kwetu kuchepuka hayupo kabisa.

Jamani wenye shuhuda kama hizi mziweke hapa, maana kuna wanaota kuingia kwenye ndoa wasiwe na mashaka na hofu kuwa ndoa ni mateso.

Ndoa ni paradiso hakika mimi najionea mwenyewe.
Amina Kaka, namtukuza Mungu kwa ushindi hao, namwamini kwa safari zaidi pia
 
Mwaka na zaidi??

Hii imekaaje chief

Pole sana, regardless
Is not a joke alianza kunisumbua mwaka wa 3 wa ndoa. Baadae jamaa yangu kaniambia unafeli baharia, tafyta dem upige. Toka nimeanza kuchepuka kukawa na amani chumbani maana ilikuwa ugomvi kila siku
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Is not a joke alianza kunisumbua mwaka wa 3 wa ndoa. Baadae jamaa yangu kaniambia unafeli baharia, tafyta dem upige. Toka nimeanza kuchepuka kukawa na amani chumbani maana ilikuwa ugomvi kila siku
Pole sana, Chief

Hajawahi ku share na wewe walau kwa sehemu kwamba nini kimepelekea yeye kukosa feelings?

Amewahi kukukama na mpango kando?

Forgive my many questions ndugu yangu. Situation yako inasikitisha
 
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuepo.

Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia.

Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu, nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha, nakupenda sana bebe.
Hongera
 
Wakati nikiwa na umri wa miaka 7-12 Father alikuwa akipenda kuambatana na mimi mara kadhaa, kuna maeneo (small house) tukifika mshua anapewa treatment ya ukweli balaa yaani ni maximum care.

Niliwahi kumuuliza hii ni nini na kwanini asihalalishe kama ni salama kwake?
akacheka kisha akasema! Wakati mwingine ili ndoa idumu vitu kama hivi lazima viwepo, si lazima ila inapobidi. akamaliza Kwa kusema ukifikia wakati wako utaelewa.

Leo nina miaka 7 kwenye ndoa, nilicheza faulo nyingi sana kabla sijaoa ila niliaazimia kutosex na mwanamke nitakae azimia kumuoa mpaka nifunge ndoa, nashkuru Mungu hilo lilitimia.

Maisha ya ndoa yanachangamoto nyingi sana hii ilinifanya nikumbuke matukio ya Mzee wangu na maneno yake.

Pamoja na changamoto zote ila sijawahi kusex na mwanamke Kwa kipindi chote cha miaka 7 tangu nimeoa, japo nimewahi kuanzisha mahusiano na mwanamke mwingine nikiwa kwenye ndoa but hatukuwahi kusex.

Ki ukweli mwanaume aliyeoa anahitaji utulivu wa akili Kwa kias kikubwa sana, sasa mke akianza sarakasi mume atalazimika kujitoa kafara kuvumilia jambo ambalo hajui litaisha lini na halina sababu za msingi.

Kitu kikubwa nilichojifunza ni kutokuwa na tamaa ya ngono, mahusiano niliyoanzisha yalinisaidia kupata utulivu kiakili naashkuru mtu niliekuwa nae alikuwa muelewa sana hasa Kwa kunielewa na kuelewa ninachotaka kwake.

Nijambo la hatari sana kuanzisha mahusiano na mwanamke mwingine Kwa lengo la kupata utulivu ili kujipa time ya kuvumilia changamoto za ndoa yako, maana inaweza fika time ukashindwa kujicontrol na small house akatakeover

Ndoa bila mchepuko inawekana ila hawa wake zetu wanachangia kutuvuruga.
 
Ndipo ulipojifunzia? Wote wanafanana hskuna jipya n kujiendekeza tu
 
Dah! 15 years bila kuchepuka!!? Watu tumeumbwa tofauti sana
 
Back
Top Bottom