Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Hongera ulibahatika kupata mke mwema. Wala usijisifu kwa hilo. Tuliovutiwa na sura tukaoa tunajutia japo mm nna miaka 10 kwenye ndoa nimechepuka mara nyingi kuliko kipindi sijaoa. And sijutii na ninaona ni haki yangu. Nina mwaka na miezi kadhaa sijaona lango la shrmeji yenu, hatujagombana and yupo confotable wala haulizi
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa
 
Mwaka bila mbususu kutoka kwa wife??? Huyo mwanamke ni kichwa maji sasa anategemea nn?
But kaa ukijua hata yy wahuni wanamega kimtindo...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa

Kwa hiyo mkuu ukazimia[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa
Mkuu naomba namba yake,huyo ndio ananifaa
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Inawezekana mke wake siyo shabiki wa wale wanaojiita wasafi classic au kina Diamond wangepita naye huko kwenye matamasha yao
 
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa
we mzee umenifanya ni log in JF kwa lazima 😂😂

Itoshe kusema wewe ni MME BWEGE
 
Sio njia rahisi hasa kwa mwanaume rijali , kuna wanawake wengi nimeksona nao, kuna mmoja amewah kunivulia bikini [emoji160] ofisini nikajifanya nimezimia , huyo mpaka leo hatusalimiani ikawa ugomvi , sio njia rahisi kutunza agano la ndoa
Ila jamani tuseme ukweli wanawake tunatwishwa sana mizigo .hiv kuna mwanamke tjmamu anayeweza vua kyupi ofisin iasbh na baridi na kichwan mzima kbs? .ungesema sehem za starehe sawa..ila ofisini?? Haya bwana
 
Back
Top Bottom