Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana, ingawa mabonde pia yalikuepo.

Sijawahi kuchepuka nje ya ndoa, hakika kuna kipindi nilipata vikwazo vya wakwe maneno mengi yasiyoisha lakini nikawapuuzia.

Dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu, nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha, nakupenda sana bebe.
Bwana akubarikie na kukulinda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila kuwa na maisha mazuri ni kazi bureee...kwamba niolewe nikaishi room 1 mandoo ya maji humo humo mapanga jiko la tambi,kitanda, tv,yaan vurugu tupu😅😅..waolewe tu aise🥵🥵!
Pesa inaboost mapenzi mkuu...🥵
Nimekubali kukosa vyote hapo juu...acha nipambane na hali zangu
TRust me "KUANZA MAPENZI MKIWA CHINI HIVYO (KUISHI STOO) MPAKA MKAJA KUWA JUU NI RAHA SANA"

Unataka umpate mwenye nyumba na gari?

#YNWA
 
Hongera ulibahatika kupata mke mwema. Wala usijisifu kwa hilo. Tuliovutiwa na sura tukaoa tunajutia japo mm nna miaka 10 kwenye ndoa nimechepuka mara nyingi kuliko kipindi sijaoa. And sijutii na ninaona ni haki yangu. Nina mwaka na miezi kadhaa sijaona lango la shrmeji yenu, hatujagombana and yupo confotable wala haulizi
 
Ndio mapishi tofauti, ila samaki yule yule, leo wa bila mafuta, kesho wa nazi, siku.ingine wa.mafuta ya alizeti, siku ingine wa kuchoma, siku ingine.wa kuoka, siku.ingine wa.ndimu, limao day ingine.lost siku.ingine.wa mshikaki.. akili zenu tu wakurungwa.. raha ya bao ni swala la kiakili zaidi
Mkuu jifunze kuandika vizuri basi!
 
Back
Top Bottom