Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

😂😂😂😂😂😂😂😂 unamchokoza mwendazake sasa Kiongozi wa Malaika mbinguni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huu uzi umevamiwa na malaika wachafu aise nacheka tu dah😀😀
 
We si unamjua BAK alivyo mchokozi? 😜😜😜miaka 15 kula mapishi yale yale wali kuku si mchezo ati. Hongera zake nyingi.
Kwahiyo wewe huwezi? why usime mapishi yale yale wakati wali/mchele unaweza pikwa kama pilau, biriani kuna wali wa vitunguu, karoti, hadi mdalasini nk. Acha kujiendekeza bana unaweza 😒
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂😂😂 unamchokoza mwendazake sasa Kiongozi wa Malaika mbinguni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahahhaa kwamba magu ni kiongoz wa malaika wachafu🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Utamu tunao wenyewe kule tunafuata utelezi tu
watu huwa tunaangaika sana, utamu upo kwetu na ni swala la ki akili zaidi unavyo itazamisha ndivyo inavyokuwa. 😀😀😀 hayo ya kufinyiwa kwa ndani sio nje ni katika hali ya kuiset akili.tu
 
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana , ingawa mabonde pia yalikupo, sijawahi kuchepuka nje ya ndoa , hakika kuna kipindi jilipata vikwazo vya wake maneno mengi yasisoisha lakini nikawapuuzia, dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu , nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha , nakupenda sana bebe.
Huyo Frontier yuko humu jf?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 unadhani kwanini Waislamu wanaoa wake wanne? 😜😜
Kwahiyo wewe huwezi? why usime mapishi yale yale wakati wali/mchele unaweza pikwa kama pilau, biriani kuna wali wa vitunguu, karoti, hadi mdalasini nk. Acha kujiendekeza bana unaweza 😒
 
Utamu unatofautiana Mkuu msemakweli mpenzi wa Mungu, Suleiman mwenyewe alionjaonja sana Mfalme Daudi naye alionjaonja, tukupe bibli/Koran uape kama kweli huja... wala kupata hisia
utamu ni swala la akili yako inavyo peleka taarifa katika sehemu zingine za mwili..
 
utamu ni swala la akili yako inavyo peleka taarifa katika sehemu zingine za mwili..
Hii hapana hata iweje, kuna mtu ameandika humu, miaka 15 unakula wali samaki asubuhi mchana jioni!!!!
 
Back
Top Bottom