Miaka 15 ya ndoa bila kuchepuka, namshukuru Mungu

Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana , ingawa mabonde pia yalikupo, sijawahi kuchepuka nje ya ndoa , hakika kuna kipindi jilipata vikwazo vya wake maneno mengi yasisoisha lakini nikawapuuzia, dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu , nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha , nakupenda sana bebe.
Vipi kuhusu mkeo je?
 
Nimesha kujibu kule PM, hapa waifu anakaribu kusoma.
Maana sie tusi chepuka hua hatutaki mambo mob..๐Ÿ™„๐Ÿ™„
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃna ww mkeo kumpa id yako huku inahu? Si ufalasi huo? Sasa sisi tukale wapiiii
 
Leo nimefikisha miaka 15 ya ndoa yangu mimi na mke wangu safari ilikuwa ya raha sana , ingawa mabonde pia yalikupo, sijawahi kuchepuka nje ya ndoa , hakika kuna kipindi jilipata vikwazo vya wake maneno mengi yasisoisha lakini nikawapuuzia, dawa ya mjinga mpuuze tu, sasa katika miaka 45 ya umri wangu nakiri ndoa ni tamu , nakupenda honey wangu Frontier Lungwicha , nakupenda sana bebe.

Hongera shemela๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hujatoka wewe lakni mwenzio anatoa kama kawa hawezi kukoswa ubunifu kwa sababu yako, kisichokutoa hapo ni ufundi wa mama sio vingine..tunasema maji kila kilefu inaitaji uzoefu[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom