Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

Safi napenda sana watu wenye kutafuta knowledge na ukwel...Good Men
Mkuu mimi si seek knowledge sitakikujaza mawazo ya watu kichwani sina memory card ,i dont need one,am just learning ,experiencing,knowing and witnessing pili mimi sitafuti ukweli maana ukweli upo na unaishi kati yetu sote hauna haja ya kutafutwa "truth is self-evident"haihitaji logic wala rocket science.Truth is existence and life(living)hiyo experience ipo ndani ya truth na mimi na wewe tukiwepo,ukweli ni sisi na sisi ndo ukweli panoja na vyote kwa ujumla wake visivyoonekana na kuonekana,kujulikana na kutojulikana,napenda kujifunza sio kukari mimi sitaki kuwa msomi napenda jinsi nilivyoumbwa natural wa kawaida hiyo ndo my joy and happiness
 
I love energy,Tukiwa na Watu 500 kma wewe Tanzania I think watu wataacha kuweka vitu walivyoambiwa na kurithi visivyokuwa na mantiki na reality...
 
Utata unakuja hapo walipoanza kumuita Yesu/jesus mbadala wa jina lake halisi.

Huo uhuni wa kubadiri majina ya manabii na wahusika wa matukio upo ktk biblia tu ni maajabu haya, hata Qur'an na vitabu vingine ama dini zingine na hata historia za kawaida hutoona kubadirika kwa majina ya wahusika kwa visingizio kuwa wametafsiri kutoka ktk lugha fulan,

Kwanini wahindu ama waislam wasimbadiri muhamad ama Allah asiitwe kwa majina ya uswahili ama huko uzunguni wasiwabadiri mitume wa uislamu kwa lugha zao wanazoelewa?

Je inawezekana vipi mtu anaeitwa Juma hapa Tanzania akienda china abadiri jina eti aitwe kichina, na akienda uingereza aitwe kwa lugha wanayoitafsiri jina la Juma? Na akienda uturuki wabadiri tena hamuoni kuwa huo ni mchezo mchafu wa kuficha jambo hapo?

Huyo yesu ni aina ya kiumbe chenye majina meengi hapa dunian na ktk dini kulko kiumbe chochote, maana wanadini wanataka kutuaminisha mambo yasiyowezekana.

Ni kweli maisha ya huyo yesu ni mengi hayajulikani, na sio kujulikana tu bali kutafsirika.

Kikawaida ukiisoma biblia kwa macho ya upembuzi utagundua kuwa kuna wakina yesu zaid ya mmoja humo wamechanganywa,

Kwa mission aliyotumwa hapa dunian haikuwa ya kuja kuishi kwa miaka 33 bali zaidi ya 55, maana kikawaida cheo chake ama mission yake ya Utume ilikuwa aanze baada ya kufikisha miaka 25 na kustaafu miaka55, lkn maajabu ya watafsiri wakaweka maneno yao ya uongo.

Pia kuna mengi hayajawekwa wazi kuhusu wale mitume wake kuwa walikuwa 13 kutoka ktk kabila 13 za waisraeli[emoji23][emoji23].

Ni mengi yamefichwa ktk biblia kwa kujua ama kutokujua sababu kuu ya kutokujua ni kuchakachua kitu walichoshindwa kukichakachua.

Biblia ukiisoma nje ya mahaba ya dini na vifungo vya mashetani ya kidini basi utagundua mengi sana.

Hakukuwa na haja ya kubadiri majina ya huyo mwana wa Mungu na kumuita Yesu sjui jesus mala yeshua, wangeacha tumuite majina yake halali.

Jiulizen kama maandiko yalikataza kubadiri ama kuongeza lolote kwanini hawa wafia dini waliongeza upuuzi wao waliouona ni bora? Kutafsiri maana ya sentensi na historia sio mbaya, lkn kubadiri majina ya wahusika huo ni uhuni na ushenzi kama sio ujambazi.

Yesu ama jesus hajawai kuwepo, hajawai kuwepo maana ilo jina halina muhusika kutoka historia yoyote hapa dunian ndiomaana hata uwepo wake unamikanganyiko kuanzia ktk biblia yenyewe, mpaka kwa walioicopy biblia hao wanaomuita issa bin mariam, wote waongo wakubwa.

Historia za watu wa kale, imechezewa mno, imeharibiwa sana, Yesu hatorudi mtamsubiri sana, maana haiwezekani kitu kilichoundwa kwa kufananisha na mtu mwingine mseme kiumbe hiki kiwepo haiwezekani.

Someni sana maandiko nje ya dini zenu mtaelewa hili jambo,
1672041999518.jpg
 
Someni sana maandiko nje ya dini zenu mtaelewa hili jambo, View attachment 2459327
Mkuu umenikumbusha KEMETIC SPIRITUAL SCIENCE,sasa ukijumlisha hii na buddhism kwisha habari.
 
Kisome hiki tafuta na trusted source zingine pengine utapata jibu fulani unalolitafutaView attachment 2459257View attachment 2459258
KATIKA zama HIZI za Sasa,kutakuwa na uwazi wa Mambo yaliyofichwa KWA sababu maalum,yakifichuliwa yatagharimu imani za WATU Sana!!

Nashauri tuwe na uhusiano na Mungu tu sio na DINI!!

Dini zilikuja Baadae Sana tena karne 18 (1800) WAKATI Mungu alishakuwepo Maishani mwetu kabla waarabu na wazungu hawajatuletea DINI!!

HUYO anaekuongoza Katika mema na anaekuonya na kusema nawe hata majuto ndani ya nafsi YAKO ndiye Mungu HUYO!
 
Yesu alienda india somewhere navada ,alienda kuexperience love kwa ma master wa kibuddha,hawakumfundisha chochote,walimwonesha jinsi yakubaki kuwa natural as a human being na kuwa awakened,yesu alikuwa kwenye buddhahood,na dini yake ni the religion of intelligence,religion of no thoughts,no mind,no body,silence,innocence,the religion of herenow and eternal,yesu alivyorudi kwenye mwendelezo kwenye bible alikuwa si somebody alikuwa ni nobody yani presence yake ndo ilikuwa ina exist alishakufa kitambo maana kufa ni kuua knowledge,false identity,ego,mind,thoughts and remain empty hence akiwa tayari keshajiunga na cosmic mirror ambacho ni whole yani kinachoona vyote hence kuwa God,jesus was just a person like you and nothing else na kilichomfanya awe unique ni kwakuwa aliamua kuishi yeye kama yeye bila speciality,natural,love,innocence,with state of not thinking but just knowing kwakuwa all is here and will always be.

Wangejiloga kuandika historia ya yesu jua yafuatayo,kusingekuwa na makanisa,misikiti,juain,jews and other kind of temples or monastery maana wanadamu wangejua wao ni kina nani,wanauwezo gani na nguvu zipi,wanadamu wangejua wao ni miungu katika Mungu,kumbuka yesu alisema kila mtu atabeba msalaba wake maana yake this is my path now face your own.
Oya oya oya oya , buddy buddy buddy ..

Umeandika swala pana Sana KWA ufupi , KWA sababu nilishawahi experience hii nakubaliana na wewe.

Ila hapo KWA yesu , I'll research .

Thank you brother
 
I love energy,Tukiwa na Watu 500 kma wewe Tanzania I think watu wataacha kuweka vitu walivyoambiwa na kurithi visivyokuwa na mantiki na reality...
Dr kwa nini umetumia theory za kizushi za watu kukolezea hadithi yako na biblia yenye ukweli wote ukaiweka pembeni?? Huoni udokta wako wa chuo cha kata haukusaidii?? mimi nadhani ungeenda hata kenya wanaweza kuwa na mtaala mzuri wa kielimu ukarudie kusoma upya hio doctorate yako ya kimagumashi.
 
Je unafahamu kuwa hata biblia ilikolezewa na kupunguzwa baadhi ya vitu ili kuminimize ambiguation (error) hasa katika masoeretic text Manuscripts pia na kubadilisha codex mbalimbali (ambazo ndo zilitumika kutafsiri biblia ya King James version the first translated bible mwaka 1611).
Yeah kuanzia mwaka 325-787 AD ( Miaka mibaya sana katika dini ya kikristo Japo wanaita miaka ya neema) Kazi hiyo ilifanywa na Mabaraza mbalimbali yakiwemo mabaraza pendwa ya council on Naecea I and II na council of constantinople I and II Je,
unafahamu kuwa hata vitabu tulivyonavyo vya sasa kweny biblia ni Pseudepigrapha na Na karibu vitabu vyote vya biblia agano jipya ni Apographa na bado tunaaminishwa kwamba hazina zifa hizo Je unafahamu kwamba vitabu vingi vikifichwa tusivisome (Apokrifa books) na wakaviondoa kwenye biblia kwa mamlaka yao wenyewe kwa sheria zao wenyewe na kutunga sheria za uvuvio 20 (20 canonical rules)...Je unafahamu walipoweka manuscript walisahau kucounter check na baadae wakakuta biblia ina contradiction zaidi ya 500 na nothing they can do to change that kwa sababu vitabu vimeshasambaa.....
So ukijiuliza maswali then utapata jibu kuwa biblia it is the good Book for but sio chenye ukweli wote kama usemavyo.......
 
Utata unakuja hapo walipoanza kumuita Yesu/jesus mbadala wa jina lake halisi.

Huo uhuni wa kubadiri majina ya manabii na wahusika wa matukio upo ktk biblia tu ni maajabu haya, hata Qur'an na vitabu vingine ama dini zingine na hata historia za kawaida hutoona kubadirika kwa majina ya wahusika kwa visingizio kuwa wametafsiri kutoka ktk lugha fulan,

Kwanini wahindu ama waislam wasimbadiri muhamad ama Allah asiitwe kwa majina ya uswahili ama huko uzunguni wasiwabadiri mitume wa uislamu kwa lugha zao wanazoelewa?

Je inawezekana vipi mtu anaeitwa Juma hapa Tanzania akienda china abadiri jina eti aitwe kichina, na akienda uingereza aitwe kwa lugha wanayoitafsiri jina la Juma? Na akienda uturuki wabadiri tena hamuoni kuwa huo ni mchezo mchafu wa kuficha jambo hapo?

Huyo yesu ni aina ya kiumbe chenye majina meengi hapa dunian na ktk dini kulko kiumbe chochote, maana wanadini wanataka kutuaminisha mambo yasiyowezekana.

Ni kweli maisha ya huyo yesu ni mengi hayajulikani, na sio kujulikana tu bali kutafsirika.

Kikawaida ukiisoma biblia kwa macho ya upembuzi utagundua kuwa kuna wakina yesu zaid ya mmoja humo wamechanganywa,

Kwa mission aliyotumwa hapa dunian haikuwa ya kuja kuishi kwa miaka 33 bali zaidi ya 55, maana kikawaida cheo chake ama mission yake ya Utume ilikuwa aanze baada ya kufikisha miaka 25 na kustaafu miaka55, lkn maajabu ya watafsiri wakaweka maneno yao ya uongo.

Pia kuna mengi hayajawekwa wazi kuhusu wale mitume wake kuwa walikuwa 13 kutoka ktk kabila 13 za waisraeli[emoji23][emoji23].

Ni mengi yamefichwa ktk biblia kwa kujua ama kutokujua sababu kuu ya kutokujua ni kuchakachua kitu walichoshindwa kukichakachua.

Biblia ukiisoma nje ya mahaba ya dini na vifungo vya mashetani ya kidini basi utagundua mengi sana.

Hakukuwa na haja ya kubadiri majina ya huyo mwana wa Mungu na kumuita Yesu sjui jesus mala yeshua, wangeacha tumuite majina yake halali.

Jiulizen kama maandiko yalikataza kubadiri ama kuongeza lolote kwanini hawa wafia dini waliongeza upuuzi wao waliouona ni bora? Kutafsiri maana ya sentensi na historia sio mbaya, lkn kubadiri majina ya wahusika huo ni uhuni na ushenzi kama sio ujambazi.

Yesu ama jesus hajawai kuwepo, hajawai kuwepo maana ilo jina halina muhusika kutoka historia yoyote hapa dunian ndiomaana hata uwepo wake unamikanganyiko kuanzia ktk biblia yenyewe, mpaka kwa walioicopy biblia hao wanaomuita issa bin mariam, wote waongo wakubwa.

Historia za watu wa kale, imechezewa mno, imeharibiwa sana, Yesu hatorudi mtamsubiri sana, maana haiwezekani kitu kilichoundwa kwa kufananisha na mtu mwingine mseme kiumbe hiki kiwepo haiwezekani.

Someni sana maandiko nje ya dini zenu mtaelewa hili jambo, View attachment 2459327
Mkuu umenifurahisha kitu kimoja kuwa kama watu watasoma maandiko ya biblia bila kuweka mahaba yao kuna vitu watagundua haviko sawa
 
Je unafahamu kuwa hata biblia ilikolezewa na kupunguzwa baadhi ya vitu ili kuminimize ambiguation (error) hasa katika masoeretic text Manuscripts pia na kubadilisha codex mbalimbali (ambazo ndo zilitumika kutafsiri biblia ya King James version the first translated bible mwaka 1611).
Yeah kuanzia mwaka 325-787 AD ( Miaka mibaya sana katika dini ya kikristo Japo wanaita miaka ya neema) Kazi hiyo ilifanywa na Mabaraza mbalimbali yakiwemo mabaraza pendwa ya council on Naecea I and II na council of constantinople I and II Je,
unafahamu kuwa hata vitabu tulivyonavyo vya sasa kweny biblia ni Pseudepigrapha na Na karibu vitabu vyote vya biblia agano jipya ni Apographa na bado tunaaminishwa kwamba hazina zifa hizo Je unafahamu kwamba vitabu vingi vikifichwa tusivisome (Apokrifa books) na wakaviondoa kwenye biblia kwa mamlaka yao wenyewe kwa sheria zao wenyewe na kutunga sheria za uvuvio 20 (20 canonical rules)...Je unafahamu walipoweka manuscript walisahau kucounter check na baadae wakakuta biblia ina contradiction zaidi ya 500 na nothing they can do to change that kwa sababu vitabu vimeshasambaa.....
So ukijiuliza maswali then utapata jibu kuwa biblia it is the good Book for but sio chenye ukweli wote kama usemavyo.......
Nadhani shida yako ni vitabu vya Apokrifa (apokrifa books) hivyo vitabu vipo na unaruhusiwa kuvisoma na kuacha hivyo unavyodai ni Apographa vilivyo sahihi kwetu na vingine usivyovitaka wewe,,Na zaidi unaruhusiwa kuanzisha version yako pia ya biblia ukaiita kwa jina lako na isio na hayo mapungufu ya kusadikika unayoyadhania.Naamini utapata wafuasi wengi tu (wanaofanana na wa kibwetere) mnaoshare mashaka yanayofanana.
 
Back
Top Bottom