mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
Usitarajie KUPATA majibu ya uhakika coz,waumini wametishwa kuhoji Mambo HAYO ni dhambi!
leta andiko.Yehova sio Allah hata atishie watu wake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitarajie KUPATA majibu ya uhakika coz,waumini wametishwa kuhoji Mambo HAYO ni dhambi!
Hakuna sehemu yoyote niliposema shida yangu ni apokrifa and yes Nimesoma Apokrifa karibu zote. Na hakuna sehemu niliposema nataka kuanzisha New Religious thought hata sehemu moja au the new thought of philosophy kama ubongo wako unavyokwambia, Au kuanzisha unachokiita "the bible with no error"Nadhani shida yako ni vitabu vya Apokrifa (apokrifa books) hivyo vitabu vipo na unaruhusiwa kuvisoma na kuacha hivyo unavyodai ni Apographa vilivyo sahihi kwetu na vingine usivyovitaka wewe,,Na zaidi unaruhusiwa kuanzisha version yako pia ya biblia ukaiita kwa jina lako na isio na hayo mapungufu ya kusadikika unayoyadhania.Naamini utapata wafuasi wengi tu (wanaofanana na wa kibwetere) mnaoshare mashaka yanayofanana.
Mi nadhani kuna umuhimu wa kusoma Apokrifa zote kama sehemu ya kuongeza ufahamu,umeeleza vizuri kwamba kama Bibilia yenyewe imetoa rejea kutoka hivyo vitabu,basi kuna haja ya kusoma kujua mambo kadhaa ambayo pengine kwenye bibilia hayawezi kuandikwa.Hakuna sehemu yoyote niliposema shida yangu ni apokrifa and yes Nimesoma Apokrifa karibu zote. Na hakuna sehemu niliposema nataka kuanzisha New Religious thought hata sehemu moja au the new thought of philosophy kama ubongo wako unavyokwambia, Au kuanzisha unachokiita "the bible with no error"
Nimeweka hoja za msingi nafikiri kama ungeweza kuzichambua hoja hizo I think ungetetea ulichokisema sasa hivi au ungekuwa umejibu Comments yangu niliyokujibu wewe kwa facts
Kuliko kashfa na Maneno yakukera uliyoyatoa
Na nafikir ningekuona msomi mkubwa "Ambaye umesoma kenya kama ulivyojinasibu"
Kwa sisi tuliosoma cuba Hatuna elimu ya kukuzidi...
Facts ambazo hukuzijibu naweza nikasema huenda sio kosa lako ni kosa ka kutoelewa baadhi ya facts...Ngoja mimi Nisie na elimh nikukumbushe wewe mwenye elimy kubwa...
Kuhusu Pseudepigrapha ni "falsely attributed works, texts whose claimed author is not the true author, or a work whose real author attributed it to a figure of the past."
na kuhusu Apographa ni established copies or transcripts of certain texts, usually religious or ecclesiastical, rather than the original autographs by the original authors or writers.
sasa nilikuambia kwamba most of the bible books are Said to be pseudepigrapha and Apographa rather Than Canonical as Told...
ulitakiwa kutoa facts ukipinga hoja hiyo kwnza na kutoa hoja yako baada ya kupinga ila hola.
naacha wazi wwe kuja kupinga
Nakupa homework nyingine swali?
Vitabu tunavyoita Apokrifa ambavyo havifai kuingia katika biblia as said non canonical viko nje ya biblia as our fore father removed them to be published...Vimetajwa kwenye vitabu vytu pendwa vilivyopo kwenye biblia 66 au kwa wengine 72 kama Rejea ya muhimu wakati sisi tumeaminishwa havina uvuvio wa roho mtakatifu does this Make sense to your head...?
1.THE BOOKS OF JASHER (Kitabu cha yasheri).
Yoshua 10:13 (cha ajabu kwa matoleo mapya mengine ya biblia fungu hilo limeondolewa na baadhi ya nakala)
2samweli 1:18
Hivi ni vitabu vilivyotaja kitabu hicho cha yasher kilichoshindwa kuwekwa katika muungamo wa maandiko matakatifu na ukisoma katika 2samuel 1:18 Mwenyzi mungu anaamrisha kitabu hicho kifundishwe kwa watu wake
Lakini katika contents yake yaani contentswise kitabu cha Book of jasher au kitabu cha yasheri kimeonyesha jinsi yane na yambre (jane na jambre) Walivyopingana na musa katika maagizo na kimenukuliwa katika 2 Timotheo 3:8
Bado kitabu hicho pamoja na waandishi wa Canon books kukitaja kama rejea bado kinaonekana ni cha kutungwa na sio canon.....
2.THE BOOKS OF THE WARS OF THE LORD (CHUO CHA VITA YA BWANA)
Hesabu 21:14 ukisoma katika nakala nyingi za tafasiri ya kiswahili utagungua kimeitwa kama chuo cha vita ya bwana
Na ukisoma katika english ni books matumizi ya neno kitabu ni sawa na chuo katika biblia soma pia katika
Luka 4:17 pia matendo 8:28 pia matendo 8:30
3.KITABU CHA SHEMAYA NABII, MAONO YA IDO NABII,
(The Book of Shemaiah the Prophet and Visions of Iddo the Seer (also called Story of the Prophet Iddo or The Annals of the Prophet Iddo)
2 Mambo ya nyakati 9:29
Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, ya kwanza, na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe ya Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji juu ya Yeroboamu mwana wa Nebati?
Je kama vitabu hivi tulifichwa kuvijua na vikaondolewa katika biblia zetu na baraza la mababa wetu wa kale he tutaelewa vipi vingine vilivyosalia kumhusu suleiman na kujua mwanzo na mwisho
( 2 Mambo ya nyakati 12:15)
Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
2 Mambo ya nyakati 13:22
Na mambo ya Abiya yaliyosalia, na njia zake, na maneno yake, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
KITABU CHA MATENDO YA SULEIMAN
1 wafalme 11:41
Kitabu cha tarehe ya samweli mwonaji,kitabu cha nathani nabii na kitabu cha gadi mwonaji
1 mambo ya nyakati 29;29
Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji;
NB:Viko Viko vitabu vingi sana siwezi kuvielezea vyote ila Nikipta muda nitaanzisha thread pia .....
jibu facts...
Ukitengenisha Imani na ukweli ndipo hapo utakapo pata maarifa (Ata yesu alituambia kuwa Tutafute kweli nayo kweli itatuweka huru hakusema tutafute imani nayo imani itatupa ukweli).......
Wasafi nao wameiga kwa kutafsiri lugha kwa kiswahiliNi kwanini umeiga the story book ya wasafi na ukaifanya kua ni yako? copyright?
Hardcopy unaweza kuipata kwnye maktaba ya vitabu vya kale lakini pia kwenye Maktaba za waroman Catholic kuna baadhi vipo....Na zaidi kama ukipata biblia ya wa Orthodox Wakristo kutoka Ethiopia au ukipata Maktaba za Ethiopia Spiritual books Utakuwa umefanikiwa maana Ndo vitabu vingi vipo na vingi vilipatikana katika mapango ya QumranMi nadhani kuna umuhimu wa kusoma Apokrifa zote kama sehemu ya kuongeza ufahamu,umeeleza vizuri kwamba kama Bibilia yenyewe imetoa rejea kutoka hivyo vitabu,basi kuna haja ya kusoma kujua mambo kadhaa ambayo pengine kwenye bibilia hayawezi kuandikwa.
Sijui ni sababu gani ambayo iliwafanya wasiviingize vitabu hivyo katika bibilia lakini vyovyote vile,kuna umuhimu wa kujua kilichoandikwa katika vitabu hivyo.
Mkuu ni wapi nitapata Hardcopy ya vitabu vyote hivyo nataka nisome,maana nahisi soft copy itanichosha haraka?
Asante nitajitahidi kuvitafuta,kama hutojali naomba uniorodheshee vitabu vyote Apokrifa ili niwe na orodha yake MkuuHardcopy unaweza kuipata kwnye maktaba ya vitabu vya kale lakini pia kwenye Maktaba za waroman Catholic kuna baadhi vipo....Na zaidi kama ukipata biblia ya wa Orthodox Wakristo kutoka Ethiopia au ukipata Maktaba za Ethiopia Spiritual books Utakuwa umefanikiwa maana Ndo vitabu vingi vipo na vingi vilipatikana katika mapango ya Qumran
Unaweza ukapata orodha hapa Pseudepigrapha, Apocrypha and Sacred WritingsAsante nitajitahidi kuvitafuta,kama hutojali naomba uniorodheshee vitabu vyote Apokrifa ili niwe na orodha yake Mkuu
AsanteUnaweza ukapata orodha hapa Pseudepigrapha, Apocrypha and Sacred Writings
Au hapa
Apocrypha and Pseudepigrapha | Encyclopedia.com
APOCRYPHA AND PSEUDEPIGRAPHADefinitionApocrypha and Pseudepigrapha are two separate groups of works dating primarily from the period of the Second Temple. The name "Apocrypha" is applied to a collection of books not included in the canon of the Bible although they are incorporated in the canon...www.encyclopedia.com
Kama wewe ni mkristo/ umezaliwa familia ya kikristo au uko interested na mambo ya kikrsto kuna maandiko matatu,,,,1..Walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu nami niko kati yao 2..Lolote mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa na lolote mtakalolifungua duniani na mbinguni limefungwa. 3...Kuzimu na uharibifu vi wazi mbele za BWANA; si zaidi basi,mioyo ya wanadamu??? Kama unasoma biblia sahihi utajua hayo yameandikwa wapi... Maana yangu ni hii :-Hakuna sehemu yoyote niliposema shida yangu ni apokrifa and yes Nimesoma Apokrifa karibu zote. Na hakuna sehemu niliposema nataka kuanzisha New Religious thought hata sehemu moja au the new thought of philosophy kama ubongo wako unavyokwambia, Au kuanzisha unachokiita "the bible with no error"
Nimeweka hoja za msingi nafikiri kama ungeweza kuzichambua hoja hizo I think ungetetea ulichokisema sasa hivi au ungekuwa umejibu Comments yangu niliyokujibu wewe kwa facts
Kuliko kashfa na Maneno yakukera uliyoyatoa
Na nafikir ningekuona msomi mkubwa "Ambaye umesoma kenya kama ulivyojinasibu"
Kwa sisi tuliosoma cuba Hatuna elimu ya kukuzidi...
Facts ambazo hukuzijibu naweza nikasema huenda sio kosa lako ni kosa ka kutoelewa baadhi ya facts...Ngoja mimi Nisie na elimh nikukumbushe wewe mwenye elimy kubwa...
Kuhusu Pseudepigrapha ni "falsely attributed works, texts whose claimed author is not the true author, or a work whose real author attributed it to a figure of the past."
na kuhusu Apographa ni established copies or transcripts of certain texts, usually religious or ecclesiastical, rather than the original autographs by the original authors or writers.
sasa nilikuambia kwamba most of the bible books are Said to be pseudepigrapha and Apographa rather Than Canonical as Told...
ulitakiwa kutoa facts ukipinga hoja hiyo kwnza na kutoa hoja yako baada ya kupinga ila hola.
naacha wazi wwe kuja kupinga
Nakupa homework nyingine swali?
Vitabu tunavyoita Apokrifa ambavyo havifai kuingia katika biblia as said non canonical viko nje ya biblia as our fore father removed them to be published...Vimetajwa kwenye vitabu vytu pendwa vilivyopo kwenye biblia 66 au kwa wengine 72 kama Rejea ya muhimu wakati sisi tumeaminishwa havina uvuvio wa roho mtakatifu does this Make sense to your head...?
1.THE BOOKS OF JASHER (Kitabu cha yasheri).
Yoshua 10:13 (cha ajabu kwa matoleo mapya mengine ya biblia fungu hilo limeondolewa na baadhi ya nakala)
2samweli 1:18
Hivi ni vitabu vilivyotaja kitabu hicho cha yasher kilichoshindwa kuwekwa katika muungamo wa maandiko matakatifu na ukisoma katika 2samuel 1:18 Mwenyzi mungu anaamrisha kitabu hicho kifundishwe kwa watu wake
Lakini katika contents yake yaani contentswise kitabu cha Book of jasher au kitabu cha yasheri kimeonyesha jinsi yane na yambre (jane na jambre) Walivyopingana na musa katika maagizo na kimenukuliwa katika 2 Timotheo 3:8
Bado kitabu hicho pamoja na waandishi wa Canon books kukitaja kama rejea bado kinaonekana ni cha kutungwa na sio canon.....
2.THE BOOKS OF THE WARS OF THE LORD (CHUO CHA VITA YA BWANA)
Hesabu 21:14 ukisoma katika nakala nyingi za tafasiri ya kiswahili utagungua kimeitwa kama chuo cha vita ya bwana
Na ukisoma katika english ni books matumizi ya neno kitabu ni sawa na chuo katika biblia soma pia katika
Luka 4:17 pia matendo 8:28 pia matendo 8:30
3.KITABU CHA SHEMAYA NABII, MAONO YA IDO NABII,
(The Book of Shemaiah the Prophet and Visions of Iddo the Seer (also called Story of the Prophet Iddo or The Annals of the Prophet Iddo)
2 Mambo ya nyakati 9:29
Basi mambo yake Sulemani yaliyosalia, ya kwanza, na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe ya Nathani nabii, katika unabii wa Ahiya, Mshiloni, na katika maono ya Ido mwonaji juu ya Yeroboamu mwana wa Nebati?
Je kama vitabu hivi tulifichwa kuvijua na vikaondolewa katika biblia zetu na baraza la mababa wetu wa kale he tutaelewa vipi vingine vilivyosalia kumhusu suleiman na kujua mwanzo na mwisho
( 2 Mambo ya nyakati 12:15)
Basi mambo yake Rehoboamu, ya kwanza na ya mwisho, je! Hayakuandikwa katika tarehe za Shemaya nabii na Ido mwonaji, kwa jinsi ya kuandika nasaba? Kulikuwa na vita kati ya Rehoboamu na Yeroboamu siku zote.
2 Mambo ya nyakati 13:22
Na mambo ya Abiya yaliyosalia, na njia zake, na maneno yake, yameandikwa katika kitabu cha maelezo cha nabii Ido.
KITABU CHA MATENDO YA SULEIMAN
1 wafalme 11:41
Kitabu cha tarehe ya samweli mwonaji,kitabu cha nathani nabii na kitabu cha gadi mwonaji
1 mambo ya nyakati 29;29
Basi habari za mfalme Daudi, mwanzo na mwisho, angalia, zimeandikwa katika tarehe ya Samweli, mwonaji, na katika tarehe ya Nathani, nabii, na katika tarehe ya Gadi, mwonaji;
NB:Viko Viko vitabu vingi sana siwezi kuvielezea vyote ila Nikipta muda nitaanzisha thread pia .....
jibu facts...
Ukitengenisha Imani na ukweli ndipo hapo utakapo pata maarifa (Ata yesu alituambia kuwa Tutafute kweli nayo kweli itatuweka huru hakusema tutafute imani nayo imani itatupa ukweli).......
Kama wewe ni mkristo/ umezaliwa familia ya kikristo au uko interested na mambo ya kikrsto kuna maandiko matatu,,,,1..Walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu nami niko kati yao 2..Lolote mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa na lolote mtakalolifungua duniani na mbinguni limefungwa. 3...Kuzimu na uharibifu vi wazi mbele za BWANA; si zaidi basi,mioyo ya wanadamu??? Kama unasoma biblia sahihi utajua hayo yameandikwa wapi... Maana yangu ni hii :-
Kwamba vitabu vilivyopitishwa na hao unaowaita wazee wetu walikuwa na lengo na hawakuwa wenyewe,,zaidi hawakufanya chochote kumfurahisha mtu au kwa manufaa binafsi ila walikuwa na lengo la kumfanya mtu kumjua MUNGU na malengo yake dhidi ya binadamu...Na ndio maana watu wasiotaka imani iwe ndio centre ya maisha yao kwa ujumla wanaona wale wazee makini walikosea compilation ya vitabu vilivyokubaliwa kwa pamoja kuwa mwongozo wa IMANI.....Old Testament 39....New Testament 27 Lakini walikaa pamoja na wakakaa kamati ilioongozwa na ROHO MTAKATIFU ili wasije wakafanya jambo ambalo lipo kwa ajili ya kumfurahisha binadamu na sio kumsaidia binadamu...
Katika pseudepigrapha kuna vitabu kama the book of Adam and Eve,,Enock,,Melchizedek,,jubilee ,,, testament of solomon nk nk.
Apocrypha kuna esdras,,bel and dragon,,tobith,,judith,,book of tomas nk
Hapo juu umevielezea vizuri kabisa as falsely atributed works na established copies or transcripts of certain text,,,kwamba ni vyenye mapungufu....Maana yake havitoshi na sio tu kwamba havina uvuvio wa Roho mtakatifu pia mengi yalioandikwa humo sio maneno ya MUNGU.Kweli kuna vitabu kama waamuzi na samuel kumetajwa kitabu cha Yashari...Lakini pameandikwa kwamba '''Mambo yaliosalia ya mfalme ahabu hayakuandikwa kwenye kitabu cha Yashari???"""lakini hakujatolewa ulazima wa kukisoma au kukijumuisha kwa sababu hio yashari ilikuwa kama kitabu cha tarehe na kumbukumbu ya matukio,,,,
Zaidi sana hiki kitabu cha Yashari nilicho nacho mimi naamini sio Yashari original kimejaa hizo (falsely atributed works) na sio kitabu cha kiimani (ndio nathubutu kusema kinawafaa watu wa FACTS zaidi) same kwa Enock,,melkizedeck tomas na vitabu vingine ambavyo vimeandikwa kwa ajili ya biashara na mashindano ya bestselling zaidi ya kumsaidia mtu kumjua NA kumfanya MUNGU kuwa centre ya maisha yake...Au naweza kusema walioviandika walikuwa na lengo la distraction ili mtu asijue lengo hasa la MUNGU kwa mwanadamu lilikuwa ni nini.
Mimi siamini kama kuna mtu wa IMANI atasoma yashari apate kitu au Enock au melkizedech vimeandikwa uwongo ambao haujajificha... Mfano eti! Musa alienda kuomba ushauri kwa Nuhu au Tera alikuwa mkuu wa majeshi ya Nimrodi,,,Huu si tunaweza sema ni upumbavu mtupu na kupoteza mda(total wasting of time).
Kitabu cha biblia,,mimi ni mprotestant kina vitabu 66 na iko na lengo moja tu kumfanya mtu yeyote aliemwamwini YESU KRISTO kama njia,,kweli na Uzima kuwa karibu na MUNGU,,kumjua na kuwa maisha ya haki na mategemeo ya kiimani kuishi maisha mapya baada ya haya tunayoishi,, kama WAFALME NA MAKUHANI...Kwa hio tukiitafuta FACTS tunaitafuta katika lipi lililo jema na lipi lililo baya,,,na zaidi katika Maisha ya kiimani kuna kuamini neno la MUNGU kupractise imani ili iwe Reality..
Wewe ukiwa ni MKRISTO maandiko yako huwa yanakuelezea na haihitaji forensic science kujua huu uzi ni wa mkristo au asie mkristo mtu akiusoma uzi wako ataiona chuki yako iliojificha dhidi ya maandiko na imani ya kikristo,, kwa hio,, reaction imesemwa huwa equal and opposite. kwa hio action yako ya kuleta kuwaambia wakristo wanatakiwa wautafute ukweli pengine as if hawaujui kila mmoja atakuja na mtazamo wake,,kama mimi nilivyokuona kwamba huujui ukweli na hutaki kuujua na unadhani kila mmoja anafikiri kama wewe.
Kumtaja Roho mtakatifu kuwa kuna maandiko kayafanya sacred na yakawa mwongozo haimake sense(ambapo ni kwako tu hakuna hio sense) na unajaribu kutafuta fact kwenye vitabu vingine.
Naweza kusema Fact is inversily proportional to faith,,mfano Musa aliambiwa apige fimbo yake kwenye maji na bahari ikagawanyika(FAITH) Kama MUSA angekuwa mtu wa fact asingepiga ile fimbo kwenye maji,,,Elisha alitupa tawi la mti kwenye maji na shoka (chuma) kikaelea juu ya maji(FAITH) Daniel,,azaria na mishael walitupwa kwenye Furnace yenye uwezo wa kuyeyusha chuma hata Tungsten carbide lakini hawakuungua wala harufu ya moto au moshi haikuwapata(FAITH) Mwanamke Sara ambae alikuwa amepita hata menopouse stage BIBI mkongwe alizaa mtoto (FAITH) YESU KRISTO kafanya mambo yasiohesabika mpaka kumfufua mfu(FAITH) kwa hio swala la facts lipo kwenye vitabu vya phisycs labda kidogo na mathematics..Faith ni gate la mahusiano ya MUNGU NA MWANADAMU...Huwezi kumpata MUNGU kwenye fact,,,,hata YESU amesema ukiijua kweli sio ukiijua fact,,,na hio kweli pia huwezi ipata bila mwongozo wa ROHO MTAKATIFU.Na HOLY SPIRIT Ni real,,yupo na anaongea.....
,,,,1..Walipo wawili watatu wamekusanyika kwa jina langu nami niko kati yao 2..Lolote mtakalolifunga duniani na mbinguni limefungwa na lolote mtakalolifungua duniani na mbinguni limefungwa.

Kuna sheria za canon sijui unazifahamu hizo sheria nikiweka zile canon books zikipotaja vitabu vya Apokrifa ukasema kutajwa kwako havina maana ya kuandikwa katika biblia ntarjea kanoni moja wapo kama sio mbili za CanonCha kwanza Ndugu napenda kukupa sifa kwa kuamua Kuandika facts japo wewe mwenyewe unasema Faith is inversely proposional na facts....
nimefurahi kwa Mafungu uliyonioyesha kwa nilijua lazima utanionyesha fungu hizi mbili za kwanza
fortunately napenda kukujulisha kuwa nimeyajua since Nikiwa mdogo,Nimeyafundisha pia na nimekuwa nikiyasoma sana na Hata nilipomaliza elimu chache ya theology niliyafindisha, Umesahau lile wewe ndiwe petro na juu ya kwamba huu.......mpka mwisho.
Pili siwaiti wazee mimi kama mimi ila wanaitwa wazee na historia ya kanisa na dini ya Kikristo kwa ujumla na linatumika neno kama forefathers of the church ambao baadhi ni kama Eusebius wa Caesarea 260AD-339 AD, mtakatifu Eustathius wa Antioch, Pia aliitwa Eustathius The Great alikufa 337,Alexander I wa Alexandria alifariki 328 au 326 AD,Arius alifariki 336 AD (mbishi sana huyu kwenye swala la yesu ni Mungu),Athanasius wa Alexandria (c. 296 or 298 – 373) Ignatius wa Antioch (pia alifahamika kama Theophorus au teofilo (ndo luka 1:1 utakuta ameandikiwa yeye) (c. 35 – c. 110)
Pili hakuna mtu asiyekosea kwamba wao waliongozwa na Mungu hivyo hakukuwa na makosa waliofanya Hapana...Kumbuka kila mtu anapotawaliwa na Imani kuna baadhi ya Vitu huviepuka ili kulinda imani yake.....
Ngoja nikupe mifano miwili kwa mfano leo hii wewe ni Mkristo nikakuweka kitengo ambacho kutakufanya uchague vitu kwa contents yake na uvipe classfication ya utakatifu ikaletewa habari nyingi sana lazima utachagua zile kwako zilizo fit na Iman ama Faith yako....
Nafikiri kama umesema we ni mkristo basi kuna hadithi moja maarufu sana ya kweli iliyotokea huko VATICAN sijui kama unaifahamu ni kuhusu Secrets of Fatima au kama inavyofahamika zaidi Three Secrets of Fatima (Ni historia Muhimu sana kwa kanisa katoliki Duniani) Ntaielezea kwa kifupi sana kuna rafiki vijana wadogo watatu ambao ni shepherds santos , Lucia santos na jacinta francso..
hawa vijana waliyokewa na Maria 1917 na wakawa wamepewa ujumbe na kila mara wakawa wanatokewa na kupewa ujumbe wakawa wametaarifu Mapadre wao na watu wote wakakusanyika kushuhudia kama ni kawli na watu zaidi ya 40,000 uwanjani walishuhudia Taswira angavu sana ikishuka kutoka mbinguni nak kuondoka...Lucia aliamdoka ujumbe huo walioambiwa wote Ila waliambiwa kwamba ujumbe huo hauruhusiwi kutolewa mpka 1941 na aliyewaambia ambaye waliamini kwamba ni Maria..ilipofika mwaka 1941 akikabidhi ujumbd ule kwa papa na baraza likikaa likatangaza kuwa ujumbe ule ungetoka 1943 ilipofika tarehe ya ujumbe papa akase.a hawezi kutoa ujumbe ule kwwnyw public kwa sababu utajenga hofu kwa waumini na utaleta chaos kwahyo ukifichwa vatican mpaka leo hii....
kwahyo kuna baadhi ya doccuments hufichwa ili visilete chaos sijui umenielewa....
Maana nataka niende kujibu swali lako....
Naona umeamua kutumia ID tofauti ili kutimiza lengo lako la kupotosha. Hii ID ya #REALITY nina maahaka nayo kwani mwandiko ni mmoja.Yah Facts, Full of facts na nilisahau kuielezea hii ya KILA sehemu alizoenda kwa sababu ningezua taharuki na ningeitwa atheists bure
Kweli wewe ni ibilis mtoto wa shetaniYesu alikuwa mtu wa kawaida na alifanya mijuza kama magician wa kawaida kwa kutumia majini wakuu kama belzebul na kulikuwa na ndoa ya siri pamoja na mwanafuzi wake aliyependa kumbusu kw kuoshwa miguu yake na mama huyo na pia hakufa msalabani kwakuwa alijua wazi kama angekufa msalabani angepata laaana ya taurati
kuhusu hiyo miaka biblia imeficha kwakuwa ina mambo ya kawaida kama wanaofanya binadamu wengine ikiwemo kuzaa kupenda sherehe kunywa pombe alikuja kuonekana akiwa ana miaka 30 kumbuka miaka migumu ni pale unapo balehe kuanzia miaka 16 hadi 30 hapa ndipo kuna mtihani maana ndio ujana wenywe
Acha upumbavu wewe yesu Ni issa tangu liniama yesu au Issa
Dah For realy?? #Sijawahi kutumia ID tofauti since nimejiunga Jf Mwaka 2012 mpaka leo Id yangu ni Moja Na unaweza Pia ukawaza unavyotaka kuwaza Siwexi kukuzuia kwa sababu tayari umeoandikizwa Imani yako ambayo ni Ngumu kuiachaNaona umeamua kutumia ID tofauti ili kutimiza lengo lako la kupotosha. Hii ID ya #REALITY nina maahaka nayo kwani mwandiko ni mmoja.
Acha kuzunguka kwa kutumia ID tofauti badala yake malizia uzi wako ili rangi yako ionekane vizuri